Kiungo machachari wa The Blues, N’golo Kante yupo fiti na sasa amerejea mazoezini tayari kuwavaa Manchester City kwenye fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya.
Chelsea itakutana na Manchester City huko porto ureno jumamosi ya tarehe 29 katika fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, ambapo kulikuwa na tetesi kuwa kante anaweza akakosa mchezo baada ya majeruhi aliyopata katika mechi zilizopita.
Kwa upande mwingine pia, Kipa namba moja wa timu hiyo Eduardo Mendy pia amerejea mazoezini kuungana na wenzake katika maandalizi ya mechi ya fainali.

Kante amekuwa na mchango mkubwa kwenye mechi za Chelsea katika michuano hii ya klabu bingwa ulaya na mashabiki wengi wa Chelsea walikuwa wanahofia sana kukosekana kwa mchezaji huyo kwenye fainali lakini sasa watatulia baada ya kugundua kuwa mkata umeme wao atakuwepo mzigoni.
Mendy pia amemaliza EPL akiwa kipa wa pili mwenye clean sheets nyingi akizidiwa na Ederson kwa 2 tu, amekuwa na mchango mkubwa sana kwa Chelsea hivyo kurejea kwake kikosini kunatia moyo.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Afadhali wamerudi ulingoni
Kila la kheri kwao
Habari njema kwa Chelsea hasa katika mecgi muhimu ya Fainali ya Uefa