Mchezaji nambari tisa wa Real Madrid, Karim Benzema, bila shaka anafurahia msimu wake bora zaidi kwenye soka.

Kwa sasa, nyota huyu ana mabao 44 katika mechi 44 alizocheza, anaongoza mbio za taji la mfungaji bora La Liga maarufu kama La Liga Pichichi kwa mabao saba zaidi dhidi ya mchezaji mwenzake Vinicius Junior.

Kwenye gemu dhidi ya Levante, alifunga bao la kichwa kwenye ushindi wa 6-0 wa timu yake, kabla ya kutoa asisti kwa Vinicius. Hilo lilikuwa bao lake la 323 kwa Real Madrid, ambalo linaashiria hatua nyingine muhimu katika msimu wake maridadi.

Mafanikio haya yanamfanya Karim Benzema kuifikia rekodi ya Raul Gonzalez na kuingia katika nafasi ya pili kwenye orodha ya wafungaji bora wa Los Blancos wa wakati wote. Cristiano Ronaldo pekee ndiye anayeongoza orodha hiyo, akiwa na mabao 451, kama ilivyoonyeshwa na chapisho la Marca.

Kitu pekee cha tofauti dhidi ya Raul na Karim Benzema ni kwamba Benzema ameweza kufikia idadi hii ya magoli katika mechi 141, zikiwa ni mechi chache kuliko Mhispania huyo.

Bado kwa takwimu na rekodi zote ambazo Benzema anatengeneza, haiwezi kabisa kueleza thamani yake uwanjani. Kwa Real Madrid amekuwa wa tofauti kabisa hivi sasa kati ya wachache, wanaocheza soka bora kuliko yeye.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa