Unapenda viumbe wa kusadikika wa kizamani sana – dragons? Kama ndiyo basi sloti yako ikufaayo ni ya The Dragon Kingdom! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa ufadhili wa Pragmatic Play inakupa wewe utamu wa gemu yenye majumba ya zamani, milima na miinuko.

Kabla hujaingia kwenye ufalme ukiwa na Meridianbet, weka mkeka wako kuwa – / +, na kisha unaweza kuanza kucheza gemu kwa kuzungusha au kuitega ijichezeshe yenyewe.

Sloti ya video ya mtandaoni ya The Dragon Kingdom ina milolongo mitano na mistari 25 ya malipo. Alama ya wild card ni Dragon Kingdom na inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za Scatter. Alama ya Free Spins ni alama ambayo inakupa wewe bonasi na ina muundo wa duara za bure ambapo ni kuwa alama ya Scatter inawakilisha “Glowing Gate in an Unknown Land”.

Mizunguko ya bure mitatu au zaidi inakupa wewe bonasi kwa mizunguko ya bure. Ukishaikubali tu unapata mizunguko ya bure mitano lakini wakati wa kuzungusha unaweza kupata zaidi alama za Scatter na vile vile mizunguko zaidi ya bure!

Unapoanza mzunguko wako wa bonasi unakuwa na chaguo mojawapo kwenye machaguo matano kuamua ni alama gani itakuwa pendwa kwako na namna gani inaweza kuzidishwa kwa umoja wake na ukaipata.

Kiukweli kuna bonsai kubwa sana zikiwa katika muundo wa mizunguko ya bure! Unahakikishiwa kuburudika ukiwa na Kasino ya Mtandaoni ya Meridanbet!


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa