Mchezaji Kasper Dolberg ametajwa kuwa ndiye mshindi wa tuzo ya klabu ya soka ya OGC Nice katika upande wa Player of the Year baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark kuwa na msimu bora sana kwenye ligi ya Ligue 1.
Dolberg aliwasili nchini Ufaransa akitokea klabu ya soka ya Ajax msimu uliopita. Amefunga mabao mawili katika gemu zake nne za kwanza kwenye ligi na akatangaza ukali wake katika ligi hiyo.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alifunga magoli mara mbili dhidi ya gemu zao muhimu sana ikiwemo ile ya Olympique Lyonnais pamoja na — katika mechi ya mwisho kwenye msimu wa mwaka 2019-20 — kwenye debi dhidi ya mahasimu wao wakubwa, AS Monaco na wakashinda mechi zote.
Haikuishia hapo kwani alisaidia upatikanaji wa mabao matatu katika mechi 23 alizocheza na akafanikiwa akafikia asilimia 78.1 ya mashuti yake yaliyolenga goli, hii ni wastani mkubwa sana miongoni mwa mchezaji yeyote wa ligi kubwa tano za Ulaya kwa mchezzaji ambaye angefikisha mashuti 20 yaliyolenga goli.
“Kasper ni mchezaji ambaye siku zote anajituma sana na ambaye ameweza kuleta mabadiliko makubwa sana katika mambo mengi sana,” alisema bosi wa klabu ya Nice, Patrick Vieira kufuatia juhudi zake zilizopelekea yeye kutwaa taji. “Aliumia sana katika kipindi cha kwanza kwa sababu alikuwa kama ametengwa sana lakini akaja kufunga mabao mawili ambayo yalikuwa ni ya muhimu sana kwetu sisi.”


mwakalosi
hongera kwake
Lombo
Dolberg pongez kwake
Gabriel
Yuko vzur
Ester jackson
Pongezi kijana
Hamidu
Talent player#meridianbettz
David pere
Kwa mtazamo wake yeye kaona hivyo
felister
hongera Dolberg
Aziza mushi
Hongera kwake
Mwanaidi
Vizuri sana na hongera kwake
Swai
Congratulation to him
Magdalena
Hongera nyingi Sana kwake
Devotha
Hongera yake
Rehema Dickson
Nampongeza sana
Samiah
Pongezi kijana
Rehema
Da! Hongera yake
Emmy cleopa
Hongera yako
Mwajuma
Kastahili kuwa bora sababu anajua kazi yake
Frank Patrick
Amekuwa na mwanzo mzuri ..pongez kwake
aisha
anasitahili pongezi kubwa sana
Theonestina
Namkubar Sana
Tahiya
Anastahil
Furahav
Uko vizuri.
Salma
Yuko vizuri
Elika
Kipaji hicho
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera kwake
Genia Sikaluzwe
Hongera zake
Neema juma
Anastahili pongezi
Povel
Hongera kwake
Warda
Atakuwa Tishio sana badae #Meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Hongera zake
Juliana
Kweli Kasper ni mchezaji hodari
Mariam mtandama
💪💪💪
Kenani
Anastahili kwa juhud zake
mathayo sonje
anastahili kwa juhudi anazozionyesha kiwanjani
Amani
alikuwa kama ametengwa lakini akaja kufunga mabao mawili ambayo yalikuwa ni ya muhimu sana
Zeiyana
Ongera sana..! kukata tamaa si ushindi ukiamua unaweza
Khadija
Yuko vizuri#meridianbettz
christopher
Aendelee kukaza maybe atasajiliwa klabu kubwa zaidi
Neema hassan
Mchezaji mahiri sana anapokuwa uwanjan..
Theckla
Pongezi kwake
Ernest
Dolberg anastahili
Asha
Pongezi kwake#meridianbettz
Shafii
Mpambanaji Sanaa
Neema juma
Kasper mtu na kipaji chakee
Hope mwaikuka
Go champ
Antony Luseno
Aendelee kujituma atafika mbali