Kocha wa Yanga Cedric Kaze amelalamikia baadhi ya wachezaji wake kuitwa timu za taifa kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbalimbali wakati wakiwa majeruhi.
“Wakati wachezaji bado wapo kwenye majeruhi wanaitwa kwenye timu za taifa, haioneshi picha nzuri kwa Tanzania hata Burundi kwa sababu hawakuwasiliana na sisi”-Cedric Kaze.
“Mchezaji kama Dickson Job aliumia akiwa timu ya Taifa wakati wanajiandaa kwenda CHAN, wakaturudishia mchezaji ameumia kakaa mwezi tunamtunza na kumfanyisha mazoezi. Sasa hivi amefanya mazoezi mara mbili tu na wenzake unashtuka ameitwa timu ya taifa.”
“Saidi Ntibazonkiza yupo kwenye majeruhi ya muda mrefu lakini unasikia ameitwa timu ya taifa, ni kitu cha kushangaza sana lakini nitawasiliana na timu za taifa tujue kitu gani wachezaji hao wataenda kufanya wakati ni majeruhi.”
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.
Jamaa kesha vurugwa
Eheee yamekuwa ayooo
Poleni Sana
Duuh
Sasa wasitumikie taifa
Duuu
Hatari
Mmh
Duuh