Bondia Amir Khan amedai kuwa mpinzani wa Uingereza Kell Brook amekuwa na wivu kwake kila wakati kwa sababu yeye ndiye mpiganaji maarufu zaidi.
Khan na Brook hatimaye watakutana huko Manchester mnamo Februari 19, moja kwa moja kwenye Sky Sports Box Office, na kabla ya mechi yao, bondia huyo wa Bolton anaamini kuwa mpinzani wake wa Sheffield ana wivu kwa mafanikio yake.
“Nafikiri Kell Brook ana wivu sana na huu ni wakati mzuri kwangu kuweka suala hilo sawa kati yetu kwa sababu amekuwa akifikiri yeye ndiye mpiganaji bora kuliko mimi,” Khan aliambia Sky Sports News
“Siku zote amekuwa akisema angestahili kutambuliwa niliyokuwa nayo na anaamini kwamba angepaswa kuwa yeye. Lakini mwisho wa siku, ujuzi wangu ulinifanya kuwa na jina nililonalo leo.
“Mimi Najituma na kuwashinda watu wenye majina makubwa duniani, kuja Amerika na kushinda mataji ya dunia ndiko kulikonifikisha hapa na kwa kweli haikuwahi kuwa rahisi. ” aliongeza Khan.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA