Sami Khedira amedhamiria kubakia ndani ya Juventus, licha ya kuwa na msimu mwingine wenye jeraha. Kiungo huyo raia wa Ujerumani aliwaambia mashabiki kwenye Instagram kuwa anafurahi na anafarajia makubwa na Mabingwa hao wa Italia.
Kiungo huyo mshindi wa Kombe la Dunia 2014 alijiunga na mabingwa hao Serie A mnamo 2015, na ana mkataba na klabu hiyo ya Turin hadi 2021. Licha ya majeraha kumuandama
Mara kwa Mara, bado ana imani ya kubakia kwenye klabu hiyo.
Alisema kwenye Instagram Live, “Ninajisikia vizuri sana nchini Italia na kwenye timu. Nimepata timu yenye nguvu sana na bado nina njaa ya kushinda mataji mengi. Sasa nina imani zaidi na sioni sababu ya kuondoka. Nina furaha sana huko Juventus na Turin.”
Frank Patrick
Umri wake na team alizochezeaga vinampa maswali ya atake nini kingine wacha abaki Kwa vibibi vizee tu
Tahiya
Ni mchezaji mzuri japokuwa ameandamwa na majeraha kwa upande wangu aendelee tyuu kubaki Italy
Hope mwaikuka
Ni hora tum abaki huko huko
Rehema
Muache abaki tu juventus
Theckla
Timu aliyokuwa nayo ni timu ambayo inafanya vizuri Sana hivyo kuendelea kubaki kwake kutakuwa na faida kubwa kwake
Warda
Abaki tu bwana mana wa kawaida #Meridianbettz
Antony Luseno
Kwa ushauri wangu ni bora astaafu soka
Neema juma
Bado ni kiungo mzuri abaki aendelee kufanya maajabu
Salma
Abaki tyuu Italy japo hana muda mrefu wakuendelea
Ernest
Khedira atapiga pesa huku akiwa bench
felister
kama moyo wk unataka ivy basi fanya vile moyo wako unataka
aisha
Mimi namshauli abaki tuu ili aendelee kupambana
Ester mmakasa
Safi sana Khedira kwa kuongelea kitu kinachokupa furaha maishani.
Devotha
Abaki tu maana akitaka kuondoka labda aje yanga😀
Asha
Sami khedira fundiii wa kijerumani
Ester jackson
Safii sana kwa maamuzi aliyo yafanya mana sasa juventus wanakuja kwa kasi ya ajabu
dorophina
Ni bora abaki hapo hapo
Elika
Ni mchezaji mzuri sana sami namuombea abakie hapo hapo juventus
Juliana
Nikiungo mzuri,
Abaki tu Italy.
Magdalena
Aende wapi wakati alipo panamlipa vizuri
Evaluziga
Ni mchezaji mzuri sana abaki tu Italy
Gabriel
Anamchango mkubwa juventus
David pere
Kwanza kabisa umuhimu wake unaoneka pale juve na makombe mengi ashayachukua Hana kingine alichobakiza kwenye mpira
Hamidu
Mchango wake ni mkubwa Sana japo juve anastahili kuendelea kubaki#meridianbet
Lombo
khedira we baki tu juve utoke uende wap bhn wakat juve mambo yameshaanza kuwa fireeee
Swai
licha ya kuwa na msimu mwingine wenye jeraha lakini bado anaitaji kusalia turin
Amani
Sami Khedira amedhamiria kubakia ndani ya Juventus, licha ya kuwa na msimu wenye majeraha Nia yake kusalia kwa kibibi Cha turin#meridianbettz
Povel
Umri na mafanikio aliyopata kwny vilabu alivyotoka nyuma inabid abaki tu Turin amalzieh kpnd chake thnks meridian bet tz
Emmy cleopa
Bado yuko vizur abaki tu italy
Mwajuma
Ile ndio club ambayo ina MFAA asiangaike kundoka abaki aweke recod yake
Kenani
Kubadilisha mazingira ni vzr Kwanza unajifunza Zaid
Genia Sikaluzwe
Ni Bora akabadilishe upepo huenda kukawanafaida kwake
Caroline
Napenda mwanaume mwenye msimamo wake
Aziza mushi
Bora abaki tu hapo
mwakalosi
huyu mzee abakie tu hapo kwa wazee wenzie tu
Lydia Emmanuel Magoti
Kubadilisha mazingira nikitu kizuri Sana ujua zaidi kitu
mathayo sonje
umri nao unasogea inabidi atulie tu asubiri kustaafu
Agness
Abaki tuu
Sadick
Maisha kupambana. Hata hivyo timu gani inaweza kuwa tayari kununua mchezaji majeruhi#meridianbettz
Shafii
Kwa umri wake amalizie tu hapo hapo juve
Furahav
Bakia tu hapo.