Kick It Out Kupata £3m Kupambana na Ubaguzi

Sky Sport wametangaza kuwa watatoa pesa kiasi cha £3m kwa kikundi cha kupambana na ubaguzi kwenye soka Kick It Out.

Kick it Out wamekuwa wakifanya jitihada za kupambana na ubaguzi katika soka kupitia namna mbali mbali na kuwashirikisha wachezaji kufuatia ongezeko la ubaguzi wa rangi katika soka.

Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Skysport wamebainisha kuwa Kick IT Out wametangaza kuingia ubia na Skypsport kama mshirika wao katika tasnia ya utangazaji.

Kick It Out Kupata £3m Kupambania Ubaguzi
Wachezaji wamekuwa wakishirikiana na Kick It Out kupambana na ubaguzi.

@KickItOut  wameanzisha ubia wa miaka 3 na Sky ambao utawafanya Sky kuwa washirika wakuu wa utangazahi katika kuhakikisha usawa kwenye soka na kupambana dhidi ya ubaguzi wa aina yeyote”-Skysport katika ukurasa wao wa Twitter.

Sky wameenda mbali na kusisitiza kuwa wana malengo sawa na Kick It Out Kuhakikisha kuwa soka linakuwa mahali salama bila ubaguzi, hiyo ni moja ya ndoto yao katika soka.

Wakiwa kama washirika wakubwa wa maendeleo Uingereza, Sky wanaamini kuwa hizi ni jitihada zao katika kuhakikisha kuna kuwa na mabadiliko chanya katika jamii, hasa katika soka.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

 

13 Komentara

    Hawa watu mbona hawataki kubadikika ?waache
    Mambo ya kibongo wawe wazungu kwenye mambo yote

    Jibu

    Ifike mahala haya mambo yaishe

    Jibu

    Dhuu kweli ubaguzi umekithiri mpaka wameunda taasisi

    Jibu

    Ubaguz ni kitu cha kupingwa

    Jibu

    Noma sana hii mpaka taasisi

    Jibu

    Ubaguzi sio kitu kizuri kabisa

    Jibu

    Ubaguzi sio poa kabisa

    Jibu

    Cyojambo jema ubaguzi

    Jibu

    Ubaguzi si jambo zuri

    Jibu

    Ubaguz sio poa

    Jibu

    Ni ngumu sana ila utafika wakati nadhani mambo yatakaa sawa

    Jibu

    Ubaguzi sio mzuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe