Tujikumbushe: Kilichomuondoa Ander Herera Man United

Julai 2019, aliyekuwa nyota wa Manchester United, Ander Herera alieleza sababu iliyomuondoa Manchester United.

Staa huyu aliamua kuhamia klabu ya PSG katika dirisha la uhamisho la msimu wa joto wa 2019. Katika sababu alizotaja kuwa zilimfanya aondoke klabuni hapo ilikuwa ni kushindwa kuelewana na meneja wa klabu hiyo Ole Gunnar kuhusu wajibu wake klabuni hapo.

Staa huyu aliamua kusepa kama mchezaji huru kwenye dirisha la uhamisho la msimu wa kiangazi, ikiwa ni baada ya miaka yake mitano katika Ligi Kuu ya Uigereza.

Herera akionekana kama angeweza kuendelea kusalia United anasema kuwa alilazimika kusepa klabuni hapo baada ya kutofautiana kimawazo na meneja Ole Gunnar juu ya majukumu yake.

Ander Herera alinukuliwa wakati huo akisema;

“Sipendi sana kuangalia yaliyopita, lakini kulikuwa na tofauti kati yetu kwa uhusiano wa kazi tuliyonayo na mchango wangu klabuni.”

“Ninafuraha sana, nina mengi ya kuishukuru klabu, mashabiki na Solskjaer pia. Alijitahidi kufanya awezavyo nibakie lakini ilishindikana. Nilikuwa nimeshafanya maamuzi ya kuja Paris.”

Tunakumbuka wakati huu pia golikipa David de Gea pia alikuwa anahusishwa zaidi na klabu ya PSG, lakini kwa mujibu wa Ander Herera klabu yake mpya ilikuwa ina ina uhakika na makipa iliyowapata, hivyo hawakuwa na haja ya kumfukuzia De Gea.


 

Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

39 Komentara

    Sidhan kama alikua sahihi kuzungumza yote yale tunacho fahamu tuu ni kwa sabab ya masilah ya msahara

    Jibu

    kiikwel kuna muda lazima mtu ufanye maamuz magumu ambayo lazma yakuletee faida kwa upande wa Ander Herera kitendo alichokifanya me naona yuko sahihi kabisa na hii inanipa picha kuwa ata de gea hayuko vzur na maamuz ya kocha wake ole gunnar Solskjaer

    Jibu

    Ander Herrera alicheza kwa kujitolea sana na anatakiwa kuweka bidii kwenye timu aliyohamia,aachane na mambo yaliyotokea Man U#meridianbettz

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Duuh kumbe hakua na maelewano mazuri na ole Gunnar.

    Jibu

    Huu sio mda wa kukumbuka ya nyuma Herrera cha msingi ni kupiga kazi klabu uliyopo kwa sasa

    Jibu

    Aisee habar zenu ni nzur sana

    Jibu

    Duuh ku

    Jibu

    Herrera ni mchezaji mzuri Sana

    Jibu

    Herera united ilikosa mchezaji mahiri

    Jibu

    Wachezaji wengi wazuri wanaondokaga kwenye timu wanazozipenda sababu kubwa kutokua na maelewano mazuri na makocho.

    Jibu

    Herera anaonyesh dhaman yake kwn United walitak kumpa kias kdg kwny kandarasi mpya kutoka na ubora alionyesh msimu husika lakin hawakutambuwah herera anadhaman kulik like walichotak kumpa ndipo psg Wakampa thamani yake ni kwl now anaonyesha dhaman ya pesa ya mkataba mpya aliopewa na matajir wa jiji la paris thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    Yupo vzr lkn

    Jibu

    Yupo vzr sanaaa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Yupo vizuri
    @meridianbettz

    Jibu

    Wachezaji wengi wazuri wanaondokaga kwenye team wanazozipenda sababu kubwa kutokua na maelewano mazuri na makocha wao#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:hataivyo asingeweza tena kudumu man united

    Jibu

    Ander Herera mwamba ambaye bado anasumbua kwenye ramani ya SOka duniani

    Jibu

    Yupo vzuri

    Jibu

    Mwamba ambaye bado anasumbua kwenye ramani ya soka dinian

    Jibu

    Kocha kama kocha hana uwezo wa kumzuia mchezaji kwenda sehemu ambayo yeye hanamapendekezo napo so ulikua huwamuzi wake mwenyew ander Herrera kwenda PSG na ndio inavyo kuaga wachezaji wengi wenye uwezo wanajichagulia timu wanazo zipenda

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    hakuna sababu nyingine mimi naona anajikosha tu aliondoka sababu ya masrahi ya kipato

    Jibu

    aliondoka sababu ya masrahi ya kipato uyo

    Jibu

    Under herera yupo vizuri Ila mtu anangalia masilai Kama masilai ayajamlizisha anatafuta panapo mlizisha

    Jibu

    Under herera ni mchezaji mzuri sana labda kocha wake walipishana kiswahili

    Jibu

    Under herera yupo vizuri Sana abasumbua vichwa vyawatu kwenyesoka anajua

    Jibu

    Hivi alitakiwa kutoa sababu naona ni vizur kunyamaza tyuu

    Jibu

    Umefanya jambo la mana.

    Jibu

    Yaliyopita yamepita songs mbele ili timu uliyopo ifanye vizuri#meridianbett

    Jibu

    Yupo vizuri sana

    Jibu

    United hawakuona thamani ya herera mbali na kutoelewana na meneja wake ole Gunnar,lkn thamani yake inaonekan sasa akiwa PSG hakika kumpiga teke chura ndio kumuongezea hatua Kama anenavyo siipendi kuangalia yaliyopita .

    Jibu

    Staa huyu aliamua kusepa kama mchezaji huru kwenye dirisha la uhamisho la msimu wa kiangazi, ikiwa ni baada ya miaka yake mitano katika Ligi Kuu ya Uigereza.

    Jibu

    Ila alikuwaga poa sana#Meridianbettz

    Jibu

    kumbe hakua na maelewano mazuri na meneja

    Jibu

    Tatizo makocha wengi awaekewani na wachezaji wao kuwasababishia kuhama timu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.