Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza kikosi chenye wachezaji 27 ambacho kitaingia kambini Juni 5 mwaka huu kujiwinda na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi.
.
Makipa- Aishi Manula(Simba, Metacha Mnata (Yanga), Juma Kaseja (KMC)
.
Mabeki- Shomari Kapombe (Simba), Israel Mwenda (KMC), Mohamed Hussein (Simba), Edward Manyama (Ruvu Shooting), Erasto Nyoni (Simba),Bakari Mwamnyeto (Yanga), Kennedy Juma(Simba), Dickson Job(Yanga), Nickson Kibabage (Youssoufia Fc Morocco).
.
Viungo- Mzamiru Yassin(Simba), Feisal Salum(Yanga), Salum Aboubakar (Azam), Braison Mkulula (Azam),Mudathir Yahya (Azam), Novatus Dismus(Maccabi Tel Aviv).
.
Washambuliaji- Simon Msuva (Wydad Casablanca ), Yusuph Mhilu (Kagera Sugar), Denis Kibu( Mbeya City), Mbwana Samatta( Fernebance), John Bocco (Simba),Meshaki Abraham (Gwambina), Ayoub Lyanga(Azam), Iddy Nado (Azam).
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Kikosi sio kibaya, Kila la kheri Stars
Kila la kheri kwao
Wamejipanga vyema
Kikosi imara