Manchester United wamesema janga la Corona limeigharimu klabu kiasi cha £28m – na wanatarijia hadi mwisho kiasi kitaongezeka.
Afisa mkuu wa Fedha Cliff Baty amesema wanatarajia kurudisha £20m mapato ya Runinga kwa warusha matangazo hata kama msimu wa Premier League utakamilika.
United wamepoteza nyongeza £8m kwenye wiki tatu za mwisho za mwezi machi, pale mechi tatuz zilipohairisha.
Jumla ya mechi 11 za United zimehairishwa kwasababu ya COVID-19.
Akizungumza kwenye kikao cha video na baada ya ripoti ya Fedha kutoka, Baty ameeleza warusha matangazo ya Premier League watapata £20m kutoka kwa klabu, kwasababu ya mabadiliko ya tarehe na muda wa mechi kwasababu ya Corona.
Wakati mechi zimesimishwa – ikiwemo za Ligi ya Europa na Kombe la FA – Baty amesema mapato ya udhamini yameshuka kimkataba kwasababu mauzo ya bidhaa yameshuka kwa duka Old Trafford likifungwa.
Mapato ya robo mwaka yameshuka kwa 18.7% kiasi £123.7m. Deni la klabu limeongezea kwa £124.4m hadi £429.1m.
Baty amesema kuhairishwa kwa mechi ya Premier League dhidi Tottenham, 15 Machi pekee yake imeigharimu United £4m.
“Huu ni wakati mgumu lazima tutambue na lazima tujue kuwa janga hili haliwezi kumaliza kwa usiku mmoja,” amesema Woodward.
“Japo, klabu ina msingi mzuri, Tunabaki tukipanga mipango ya muda mrefu ili kunusuru klabu katika kipindi hiki cha janga hili ambaho hakijawahi kutokea kwenye miaka 142 ya historia kwa Manchester United.”
winfrida
ugonjwa wa corona umerudisha nyuma mambo mengi sana
Aziza mushi
Hili janga jamni dah😔
Shafii
Covid19 imeleta maafa makubwa sana ulimwenguni kote kwenye sector zote
Asia Abdy
Duuh hii Corona jaman
Khadija
jamani hii corona ni hatari sana ni kumuomba mungu tuu atusaidie#meridianbettz
Hamidu
Daa! Chama langu!soon Mambo yatakaha sawa# meridianbettz
mathayo sonje
Klabu kubwa kama man u yenye mipango mikubwa hata ikipata hasara kwa kipindi cha korona itarudi kwa mudamchache kwa miundo mbinu ya uzalishaji waliyonayo.
David pere
Kweli ni hasara kubwa Sana walioipata
Lombo
dah polen sana
Nasra
Pole Sana man utd
Agness
Duuh pole zao
Rehema
Duu! Corona hatari
Ester mmakasa
Ni clabu kubwa hiyo haiwezi kupata asara kubwa itakaa sawa tu.
Samiah
Kwanini corina jmn
Amani
Hali itakaa sawa
Evaluziga
Ili kanga linatisha baraa
Gabriel
Polen sana man u
frank patrick
Kuna kipindi mashabiki wengi walikuwa ni faida kwao na sasa imegeuka kuwa kahasara kwao…Pole kwa team zote za EPL
Antony Luseno
Katika kipindi cha janga hili timu nyingi zimepoteza mapato mengi
Rehema Dickson
Corona jaman duu sijui utaisha lini
mwakalosi
Duh hii hatar
Ester
Corona imeleta maafa mengi sana dunia zima cha msingi tufuate kanuni za afya dhidi ya kujikinga na corona na mambo yawe kama zamani .
Hope mwaikuka
Mambo meng yameharika sababu ya huu ugonjwa
Carolyne
Corona jmn.leave us please
Zeiyana iddi
Daaah..!korona imearibu mambo mengi
Hidaya Mohammed
Corona ni hatari sana
Furahav
Corona sio poa.
Lydia Emmanuel Magoti
Corona atari inawarudisha watu nyuma Sana kifedha kimichezo
Theonestina
Mungu atunusuru na hili janga
Salma
Mambo mengi yameharibika litapita tyuu
Magdalena
Duh sa itakuwaje Tena corona tuache kidogo tafadhal #meridianbet
aisha
duuh poleni sana ndugu zetu
Juliana
Jamani,hii cov hii kweli sio poa
SADICK
Corona imeleta majanga kila sekta #meridianbettz
Isaya massawe
Pole kwa man united kwa hasara
Tahiya
Ni janga la dunia na limeridisha nyuma mambo mengi sana hasa kiuchumi
Emmy cleopa
Duuuh polen sana
Mariam mtandama
Duuuh corona inatisha
Povel
Ni janga la dunia hlo covid 19 (Corona)
Neema juma
Corona imetishia dunia
Mwajuma
Mungu atasaidia mambo yatakaa sawa tu
Samira
Hili janga la corona limeharibu sana uchumi wa kila sekta
farida ahmadi
Duh pole Sana klabu ya man u ila karibuni Mambo yatakaaa sawa tyuu