Kisa Shabiki, Dier Apigwa Faini

Kiungo wa Tottenham Eric Dier amezuiwa kucheza mechi nne na faini ya £40,000 kwa kupanda viti na kwenda kumshambulia shabiki baada ya mechi mwezi Machi. Tukio hilo lilitokea baada ya Spurs kutolewa kwenye Kombe la FA dhidi ya Norwich

Shirikisho la soka limemzuia kucheza mechi nne kati ya tano zilizosalia. Lakini pia ameonywa kuhusu tabia hiyo.

Taarifa inasema: “Mchezaji wa Tottenham amekiri kuwa matendo yake wakati wakumaliza mechi ya Kombe la FA dhidi ya Norwich City haikuwa nzuri lakini alikataa kama alikasirishwa na maneno ya shabiki huyo.

Tukio lilitokea Machi 4 katika raundi ya 5 iliyoamuliwa kwa mikwaji ya penati, ambao Dier alishinda lakini Spurs walifungwa.

35 Komentara

    Sawa kabisa alivyo zuiwa kucheza mechi tena naona kama faini waliyo mpa ni ndogo vile#Meridianibettz

    Jibu

    Hasira za uyu jamaa mkosesha mechi na fine juuu co kitu kizur kwa wachezaji kufanya mambo yaki puuzi kama hayo yata wakosti kama yalivyo mkosti Dier

    Jibu

    Mpiraa ndo ulivyo ..mashabiki wa namaneno sana ya maudhu …hakupaswa kufanya ivyooo ..

    Jibu

    Habari mbaya hizi

    Jibu

    Hasira hasar siku zote

    Jibu

    Habari mbaya kwa mchezo wa mpira nikawaida sana hawa kwa timu pizani lazima iwe hivyo lakini hakupaswa kwenda kumpiga shabiki kwa sababu ya maneno in haki yake kupea adhabu.

    Jibu

    Achukuliwe hatua za kinidhamu

    Jibu

    Asira sio mzuri

    Jibu

    Hawakutenda haki kabisa na piya haikuwa nzuri

    Jibu

    Huo ni huonezi kwan yy ndio aliyemtuma shabiki sio haki

    Jibu

    sad news

    Jibu

    Ameonesha nidhamu mbaya sema katika mpira hayo yanatokea sana

    Jibu

    Izo imotional lkn mchezaj muhim kuzuia hasira zake

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Hasira hasala

    Jibu

    ukiwa kama mchezaji lazima uweze kuzuia hasira zako kwa sababu mashabiki wanakera sana, pole sana Erick naamini hautarudia tena kitendo hicho

    Jibu

    Eric dier ni nidhamu mbovu adhabu iongezeke pia

    Jibu

    Kuto kua na nidhamu ya kimchezo hili ndilo tatizo lake.

    Jibu

    Nidham muhim kwa kwel

    Jibu

    Duuh?

    Jibu

    Asante kwa update#meridianbettz

    Jibu

    Itakua shabiki alitoa maneno machafu maana sio jambo la kawaida kwenda kumpiga shabiki bila sabab

    Jibu

    Hasira siyo nzuri

    Jibu

    Kweli hasira hasara#Meridianbettz

    Jibu

    Hasira hasara siku zote

    Jibu

    Huo ni utovu wa nidhamu

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Achukuliwe hatua za kinidhamu#meridianbettz

    Jibu

    Ipo poa sana hii

    Jibu

    Mashabiki muda mwingine tunazingua sana tukidhani uwanjani ni shughuli nyepesi

    Jibu

    Majanga

    Jibu

    Dah!

    Jibu

    Alifanya Jambo la kishujaa sanaa maana mashabiki wengine no machozi sanaa

    Jibu

    Nidhamu ya mchezo inatakiwa sana kwa wana michezo ote ulimwenguni.

    Jibu

Acha ujumbe