Kama jitihada za Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya #COVID19.
Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha Vijana kupata Chanjo, na klabu moja itatumika kama Kituo cha kutolea huduma hiyo.
Waziri wa Afya, Sajid Javid amesema Chanjo zinaokoa maisha, kulinda watu na kuruhusu uhuru kidogo uliokuwepo awali kurejea. Vilabu vya EPL, Championship na Ligi ndogo za uingereza.
Chelsea imekuwa moja ya klabu ambazo zimejitolea kwa madaktari wa NHS katika kupambana na janga la corona huku wakijitolea badhi ya majengo kama maeneo maalumu ya kupimia.
Vilabu mbalimbali zinatarajiwa kukubali cheti cha chanjo kama moja ya vigezo vya kuingia katika viwanja mbalimbali kuanzia msimu unaoanza wa 2021/22.
Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!
Sania+mapua
Covid ni tishio