Bosi wa Liverpool, Jurgen Klopp amelazimika kubadili mfumo katika mechi waliyoshinda bao 2-1 dhidi ya Sheffield United dimbani Anifield.
Taarifa zinasema kuwa Klopp anaonekana kuwa amejianda kufanya mabadiliko moja kwa moja kwenye mfumo wake pendwa wa 4-3-3, mfumo ambao amekuwa akiutumia zaidi tangia alipofika Anifield Oktoba 2015.
Soka linabadilika sana na wapinzani wanaweza kukujua na kuandaa mbinu za kukudhibiti wanapotambua silaha zako. Mfumo huu anaoupenda, pia alikuwa akiutumia alipokuwa Borusia Dortmund ambako alijijengea heshima kubwa kama moja ya makocha wakubwa duniani.
Kwa sasa Klopp anajaribu kuendelea kufanya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kuwa na pengo la Virgil Dijk katika safu yake ya ulinzi.
Lakini Bado ana Diogo Jota ambaye anatatwa kuwa chachu ya kutumia mbinu mpya kwa Klopp kutokana na fomu yake. Mfumo wa 4-2-3-1 ndiyo unaotarajiwa kutumika zaidi kwenye mipango ya Klopp kwa sasa.
Tsh.160,000,000 Kushindaniwa!
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana Klopp kwakubadilisha mfumo upya pongez zako kocha
zeiyana
klopp ni kocha mwenye mbinu yingi sana ni vizuri alivyo gundua makosa yake mapema
Adelta
Klopp ni kocha mwenye maarifa na mbinu nyingi ameshajua kosa lake
Sauda
Bora ametambua hilo mapema.
Ernest
Liverpool ni timu nzuri wakijipanga vizuri bado wanaweza kuwa timu tishio duniani
Angelina
Klopp yuko vizuri
Antony Luseno
Ubora wa kocha ndo unapoonekana kwamba sio mtu wa kuwa mbinu moja bali tofauti tofauti
Dorophina
Klopp kibarua anacho cha kutosha kuifanya liver ikae kwenye mstari anaoutaka
Hopemwaikuka
Klopp anajua buana
Tatu
Klopp ni kocha nzuri sana anayeenda kwa wakati
Issa
Kloop msimu huu ana chake
Elika
Kweli kabisa
Povel
Klopp ndani ya anfield mambo ni moto
aisha
Lazima.akubali maana hali mbaya sana
Sabrina
Klopp ni kocha bora
Fatina mfingi
Klopp namkubal sana
Mwajumah
Klopp kocha mzuri sana
warda
Sana abadili