Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp anasisitiza umakini unabakia tu katika kushinda michezo na sio kuwakimbiza vinara wa Ligi ya Premia baada ya kupunguza pengo la Manchester City hadi alama tatu.

 

klopp, Klopp : Hatushindani na City, Tunajaribu Kushinda Mechi Zetu., Meridianbet

Liverpool walitumia vyema mchezo wao mkononi, kwa kuwalaza Leeds United 6-0 na kufunga pengo kileleni mwa jedwali na kupita idadi ya mabao ya mabingwa hao.

“Hatuwakimbizi Manchester City, tunajaribu kushinda michezo yetu,” alisema Klopp. “Ni wazi tuna fainali ya kombe letu wikendi, City watacheza kabla na wanaweza kushinda, kwa hivyo [wanaoongoza] wanaweza kuwa na pointi sita tena kabla hatujacheza tena.

“Sina uhakika kama tutacheza kabla au baada yao kwenye mchezo baada ya hapo, kwa hivyo inaweza kuwa pointi tisa ghafla. Hatupaswi kuhesabu vitu vya aina hii, ni lazima tu kushinda michezo yetu.

“Je, tufanya hivyo kwa mguu wa mbele? Ndiyo.” aliongeza Klopp.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa