Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibishia kapteni wa timu hiyo kupata jeraha baya baada ya kutolewa katika mchezo wa dabi ya Merseyside hapo jana iliyowashuhudia wakifungwa 2-0 nyumbani.

Alipoulizwa na Sky Sports kutoa taarifa juu ya jeraha la Henderson, Klopp alisema: “Kifundo cha mguu, maeneo hayo, kwa hivyo sio nzuri.

 

klopp, Klopp- Jeraha la Hernderson ni Baya., Meridianbet

Hatujui haswa, ni eneo la kifundo au zaidi ya hapo, mengine yote tutajua kesho [Leo].”

Katika mkutano wake na waandishi wa habari, Klopp ameongeza: “Hakuna mtu katika idara ya matibabu alikuwa na hakika juu yake. Lakini tunapaswa kusubiri uchunguzi kesho[Leo].”

Jordan Henderson ameongeza wasiwasi wa Liverpool baada ya timu hiyo kuwa na wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza ambao wapo nje kwa majeraha.


WEWE NI SHUJAA? MASHUJAA WANASHINDA HAPA!

Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

Kasino ya Mtandaoni

INGIA MCHEZONI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa