Klopp; Salah Ataamua Yeye.

Kumekua na minong’ono miongoni mwa mashabiki wa Liverpool kuhusu mkataba wa Mo Salah, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametoa neno kwa mara nyingine.

Klopp anasisitiza kuwa, kama klabu, hakuna la zaidi wanaloweza kulifanya mpaka hapa walipofikia. Kwa hali ilivyo, ni suala la Mo Salah mwenyewe kuamua anachokitaka.

Inasemekana, Liverpool wameshaweka mkataba mpya mezani na wanachosubiri ni jibu la Salah ambaye mpaka sasa, hajasema chochote kuhusu mkataba aliowekewa mezani. Hii inazua sintofahamu miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo ambao, wanamuhusudu mchezaji huyo ambaye ni sehemu kubwa ya mafanikio waliyoyapata hivi karibuni.

Kama ilivyo kwa Paul Pogba kule Manchester United, ni vivyo hivyo kwa Salah na Liverpool. Kipi ni kipi, kitajulikana kuelekea mwishoni mwa msimu huu.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe