Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hataki kuamini kwamba wamepoteza mchezo wao wa Kwanza ndani ya Ligi Kuu England kwa kupokea kichapo cha mabao 7-2 mbele ya Aston Villa.
Usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, Liverpool ilikuwa ndani ya Uwanja wa Villa Park kusaka pointi tatu muhimu na kuambulia kichapo cha mabao 7-2 jambo lililomfanya Klopp asiamini anachokiona.

Mabao ya Aston Villa yalifungwa na Ollie Watkins dakika ya 4, 23 na 39 na kumfanya asepe na mpira wake, John McGinn dk 35, Ross Barkley dk 55 na Jack Grealish alitupia mawili dakika ya 66 na 75, huku yale ya Liverpool yakifungwa na Mohamed Salah dakika ya 33 na 65.
Klopp amesema:”Ulikuwa ni usiku mbaya kwetu na wachezaji pia, vitali kuamini kwamba tumefungwa mabao mengi ila kwa kuwa imetokea hamna namna acha kuangalia tutafanyaje mechi zijazo.

“Hatukupaswa kufungwa kwani tulikuwa tunatengeneza nafasi pia tena nyingi ila mambo hayakuwa mazuri kwetu hii ni mbaya hatupaswi kukata tamaa.” aliongeza kocha huyo.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


magdalena
klopp azjikaze tu kiume ndo matokeo na akubali alishindwa maana hakuna mashindano ya kushinda bila kupitia changamoto na yeye changamoto yake ni iyo ya kufungwa magoli mengi na timu ambayo haina viwango vikubwa
Lydia Emmanuel Magoti
Klopp lazima uwamini ndio matokeo hayo ndio ishatokea usicho kiamini kitugani ndio mpila nampila dakika tisini ndio mwisho wayoye akunajinsi Klopp jipange upya kwakweli chuma saba sio kwahabu hiyo timu kubwa Kama hiyo chuma 7
Sadick
Matokeo ya kikatili sana kwa Bingwa mtetezi. Msemo wa Wahenga kwamba mpira unadunda kwenda upande wowote umedhihirika jana#meridianbettz
Rose kapinga
Inabidi ukubali matokeo tuu maana cku zote unavuna ulicho kipanda!!!
Fatina mfingi
Ndo uwamin hivyo maan mpira unamatokeo matatu tyu!
Elika
Dah acha ibaki story tuu.. Liverpool mjipange upyaa
Mwajumah
Klopp itabidi uamini tu ivyoivyo kwan ndio mambo yashatokea ivyo kikubwa kujipanga upya mjue mlikwama wapi
Janeflora malisa
Inabid ujiaminishe t hmn jinc
Adelta
Hayo ndiyo matokeo jizake tu kiume na ukubali matokeo Kisha ufanye masahihisho
Angelina
Kubali matokeo
Dorophina
Hayo ni matokeo klop anatakiwa kukubaliana nayo tu ajipange upya
Hopemwaikuka
M mwenyewe nashangaa mpaka mda huu
Hidaya
Liverpool wamejua kushangaza watu
lombo
utaamn tu
jullie
kutokuamini uko kwio
Issa
Mmh kichapo tu hi ndio epl
Amiri Kayera
Ni matokeo ya mpila ukiotewa unapgw t
Sabrina
Anatakuwa aamini tu kwenye mpira chochote kinaweza kutokea
aisha
Kloop.pole mzee mwenzangu ila ndio mpira huo
Khadija
ndio ishatokea uwamin usiamin
Povel
Wamepata walicho stail credit kwa ASTon villa pongez kubwa kwa SPANA kufunga hat trick jana
Tahiya
Kwer kabisa hata meme sijaamini Klopp
Saupha mohamed
Ndo matokeo hayo Amna jinsi
Sauda
Mpira una matokeo matatu, kubaliana na yote
David Pere
klopp azjikaze tu kiume ndo matokeo na akubali alishindwa maana hakuna mashindano ya kushinda bila kupitia changamoto na yeye changamoto yake ni iyo ya kufungwa magoli mengi na timu ambayo haina viwango vikubwa
Tatu
Matokeo sio mazuri kwa bigwa mtetezi klopp anatakiwa ajitasmini
Salma ngende
Kubali matokeo
Neema
Sio kila mechi yakuingiza magoli. Akubaliane na matokeo ndomchezo ulivyo.
Nasra
Kkubali matokeo ni jambo la msingi
Samiah
Duuh
latifa juma mohamed
Kwenye mtihani lazima apatikanike wa kwanza na wa mwisho , dimbani muamuz 90 dkk ,hayo nd matokeo jipange upya mjue makosa yenu ya wapi.
Rehema
Hayo ndio matoke baba
Gabriel
akubali alishindwa maana hakuna mashindano ya kushinda bila kupitia changamoto na yeye changamoto yake ni iyo ya kufungwa magoli mengi na timu ambayo haina viwango vikubwa