KMC Wamfukuza Kocha Baada ya Kipigo

Klabu ya KMC imefikia uamuzi wa kuachana na kocha wake mkuu Abdallah Bares kufuatia mlundikano wa matokeo mabovu ambayo wamekuwa wakiyapata.

KMC Wamfukuza Kocha Baada ya Kipigo

Katika taarifa ambayo imetolewa na uongozi wa klabu hiyo inasema, maamuzi hayo yamefikiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili kuridhia kusitisha mkataba huo.

Hayo yanajiri baada ya jana KMC kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Mbeya City kwenye mchezo uliochezwa ugenini Tanzanite Kwaraa Babati.

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Huyu anakuwa kocha wa pili kufukuzwa ndani ya KMC kwenye msimu huu, baada ya Mbrazil Marcio Maximo naye kutupiwa virago kwa mtiririko huu huu wa matokeo mabovu.

KMC Wamfukuza Kocha Baada ya Kipigo

Timu hiyo inaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu wakivuna alama 8 pekee kwenye mechi 17 walizocheza mpaka sasa. Endelea kubashiri na Meridianbet mechi zako zote hapa.

Je unadhani ni kocha anaweza akainoa KMC kwa sasa?. Na je msimu huu wanaweza kusalia kwenye ligi kuu ya NBC?. Nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja mrefu ipo kwa wakali wa ubashiri Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.