Kolasinac Avunja Mkataba na Arsenal

Beki wa kushoto wa timu ya Arsenal Sead Kolasinac amejiunga na klabu Marseille baada ya kuvunja mkataba na klabu ya Arsenal.

Mchezaji wa huyo wa kimataifa kutokea nchini Bosnia alijiunga na klabu ya Arsenal kwa uhamisho huru akitokea nchini Ujerumani kwenye klabu ya Schalke mwaka 2017 amefanikiwa kuweza kuicheza klabu hiyo michezo 118.

Kolasinac

Kolasinac alilrudishwa kwa mkopo kwenye klabu yake Schalke, kwa mkopo kwenye nusu ya pili ya msimu lakini bahati mbaya hakuweza kuisaidia klabu hiyo isishuke daraja, Pia Kolasinac msimu huu ameichezea Arsenal michezo mitano tu chini ya kocha Mikel Arteta.

Arsenal walitoa waraka uliosomeka, “Sead Kolasinac ameondoka kwenye klabu ya kwa makubaliano ya pande zote kuridhika, Mlinzi mwenye umri wa miaka 28 aliyejiunga na nasi akitokea ujerumani kwenye klabu ya Schalke juni 2017, amekuwa mchezaji huru na amejiunga na klabu ya nchini Ufaransa Olympique Marseille inayoshiriki ligi ya Ligue 1.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe