Injinia Hersi Said, ambaye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM na Makamu Mweyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga amesema kuwa wamefanikiwa kufanya maendeleo makubwa kwa msimu huu ikiwa ni pamoja na kutwaa taji la Kombe la Mapinduzi.

kombe

Chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze ambaye alifutwa kazi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mwendo mbovu ilifanikiwa kutwaa taji hilo.

Katika fainali iliyofanyika Zanzibar, Yanga ilishinda kwa penalti 4-3 dhidi ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ila zama za Mapinduzi ilikuwa mikononi mwa Seleman Matola ambaye ni kocha msaidizi.

Injinia Hersi amesema: Yanga ime-archieve(fanikiwa) vitu vikubwa, tumechukua ubingwa wa mapinduzi, naamini wote mnaamini ni heshima kubwa. Haya ni mapinduzi halali yanaitwa Mapinduzi ya Zanzibar”.

kombe, Kombe la Mapinduzi ni Mafanikio – Hersi, Meridianbet

“Tumechukua ubingwa wa Mapinduzi mbele ya watani zetu wa jadi wakubwa, kwangu ni succes, (mafanikio) ambayo hatujapata miaka miwili iliyopita.

“Pia kwa sasa timu ipo nusu fainali ya Kombe la Shirikisho tunakwenda kufanya vizuri na tutafanya vizuri nina amini katika hili,”.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa