Kocha wa Anderlecht ya Ubelgiji na mchezaji wa zamani wa Manchester City, Vicent kompany amekataa kufananisha ufundishaji wake na kocha wake wa zamani Pep Guardiola.

Nyota huyo wa zamani wa City amewahi kufanya kazi chini ya Meneja Guardiola akiwa kapteni wa timu hiyo, kabla ya kutundika daluga na kwenda kuifundisha Anderlecht.

 

kompany, Kompany – “Sihitaji Kufananishwa na Guardiola.”, Meridianbet

Mashabiki wa klabu ya Anderlecht wanamfananisha nyota huyo na mkufunzi wake wa city katika mbinu zake za ufundishaji.

Sihitaji kufananishwa na Pep Guardiola na sijafika Anderlecht kuibadili timu hii kuwa Manchester City ” amesema Kompany.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

kompany, Kompany – “Sihitaji Kufananishwa na Guardiola.”, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

22 MAONI

  1. Mwanafunzi mzuri anaiga kitu kizuri anachofanya Mwalimu wake. Natarajia Vicent atairudisha Anderlecht kutawala Ligi ya Ubelgiji

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa