Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya Simba, Kamanda mstaafu Suleiman Kova ameeleza ni kwanini kamati yake imependekeza mchezaji Jonas Mkude kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Mhimbili kwa ajili ya vipimo vya Afya.

 

kova, Kova Afunguka Mkude Kupelekwa Hospitali., Meridianbet

“Tumeona kutoa hukumu pasipo kujua tatizo lake kitabibu haitakuwa sawa, anapaswa kuhukumiwa kulingana na tatizo lake kiafya kama watakavyotuelekeza madaktari.”

“Hospitalini huwa wanaangalia mambo mengi yanayosababisha tabia kama hizi; Saikolojia, msongo wa mawazo, utumiaji sugu wa vinywaji vikali na mambo mengine, maana huyu ni binadamu , majibu yatakayotoka ndiyo yataelekeza hukumu yake iwe ya namna gani.

“Mkude ni Kijana bado anahitaji kusaidiwa ndio maana adhabu yake itategemea na taarifa ya daktari.” aliongeza Kova


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa