Kurzawa Bado Yupo Sana PSG

Beki wa Paris Saint-Germain, Layvin Kurzawa amesaini mkataba mpya wa miaka minne na mabingwa hao wa Ufaransa. Mnamo Januari, kulikuwa na uvumi wa yeye kuhamia Arsenal baada ya kubadilisha wakala wake.

Kurzawa sasa anawakilishwa na Kia Joorabchian, ambaye alifanya biashara ya kuwaleta David Luiz na Cedric Soares kuhamia viunga hivyo vya Emirates.

Kurzawa amecheza mechi 123 kwa PSG, akifunga mabao 13 ambayo ni pamoja na hat-trick ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Anderlecht mnamo 2017. Ameshinda mataji 14 katika misimu mitano hadi sasa huko Paris.

Baada ya kuanza kazi yake huko Monaco, Kurzawa alijiunga na PSG mnamo 2015 kwa €23 milioni, akisaini mkataba wa miaka mitano na miamba hao wa Ligue 1.

48 Komentara

    Safi..ajitaidi aendelee kufanya vizuri

    Jibu

    Vizuri sanaa aendelee kuongeza juhudi pia namkubali Sana.

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wake#meridianbettz

    Jibu

    Vizuri aendelee kufanya mashambulizi

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Hii ni jambo zur kusain mkataba mpya pia kubak psg maana kwa arsenal akabugi kwenda kule Emirates

    Jibu

    Nijambo mzuri aendelee kufanya vizuri

    Jibu

    Hii ni habari mzuri sn kwa mashabiki

    Jibu

    P.S.G ndio timu pekee inayomsamini kwahiyo asifikirie kutoka hapo yeye mi wa hapo tuu

    Jibu

    Ni mchezaji mzur anastahili kubaki apo PSG mana ni bora kwake

    Jibu

    Psg wamemuona ni mchezaji mzuri na anastahili kubaki kuendelea kuonyesha umahili wake ndani ya club zaidi

    Jibu

    Ajitaidi aendelee kufanya vizur

    Jibu

    Wamemuona nimchezaji mzuri sana anastahili kubaki Psg

    Jibu

    Ajitahid aenderee kufanya vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Ndiyo inavyo takiwa kutulia sehemu moja

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa psg dogo bora haendelee kulisongesha

    Jibu

    Bora abaki tu apo apo aendelee kusongesha gurudumu la soka

    Jibu

    Maoni yangu hajitaidi pia nivizuri kuchezea clabu nyingi ili wajifunze mbinu za michezo asikai sehemu moja tu mri wake bado unaruusu

    Jibu

    Hongera kurzawa kwa kusaini mkataba mpya

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Abaki uko uko panamfaa

    Jibu

    Ajitahid aenderee kufanya vizuri

    Jibu

    Baada ya kuondoka Thiago Silva imekuwa vema kubakiza mabeki imara#meridianbettz

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Azidiii kupambanaaaa

    Jibu

    akaze butu mazur yapo mbele

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Beki mzuri sana japo hawana nia ya kumuuza lakini kwenye hela kila jambo linawezekana na pemdekezo ni kwa united ndo imchukue

    Jibu

    Abaki tu hapo hapo PSG

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Kurzawa ni vyema abaki hapo ili thamani yake ipande

    Jibu

    Beki wa kushoto wa PSG Layvin Kurzawa alikuwa mlinzi wa kwanza kufunga hat-trick huku timu yake ikiicharaza Anderlecht bao 5-0 na kuweza kufuzu katika mechi za muondoano za klabu bingwa Ulaya.
    Kurzawa alikuwa amefunga mabao 17 pekee kabla ya mechi hiyo kuanza lakini akafunga mabao matatu katika kipindi cha pili.
    Neymar na Marco Verratti pia walifunga bao kila mmoja wao huku PSG ikifuzu kwa urahisi katika timu 16.
    Bayern Munich pia walifuzu baada ya kuilaza Celtic 2-1 katika mechi nyengine.
    Kurzawa alionyesha ishara za mshambuliaji katika mabao yake mawili ya kwanza akifunga baada ya mpira kugonga mwamba na kurudi uwanjani na baadaye kufunga bao la pili kwa kichwa kabla kufunga bao lake la tatu katikati ya wachezaji wengi.
    Hivyo basi kurzawa anamchango mkubwa tena sana na PSG

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    imekuwa vema kubakiza mabeki imara#meridianbettz

    Jibu

    Vizuri aendelee kufanya mashambulizi

    Jibu

    Safii sana bora alivyo baki mana bado anaumuhimu sana katika timu ya PSG

    Jibu

    Ni beki mzuri Sana hongera kwake

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Ni beki mzur na psg imeon mbar kumbakish

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kurzawa Anajua bwana acheni Abaki tu#Meridianbettz

    Jibu

    Kurzawa Ana furahia maisha ya pale PSG so Hana mpango wa kuhama ,

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Hongera sana.

    Jibu

    Safi sana kurzawa maana timu inafanya vizuri ya nini kuondoka hapo PSG chukua mataji hapo

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa psg

    Jibu

    Uwamuzi wakubaki PSG upo sahihi

    Jibu

Acha ujumbe