Klabu za Ligi kuu ya Hispania (La Liga) na zile za England (EPL) zimeendelea kufanya vyema katika mashindano ya Europa League katika kipindi cha muongo mmoja.
Kwa miaka 10 mfululizo Kombe la Europa League huwa linachukuliwa na timu kutoka Hispania au England. Hiyo ikimaanisha fainali kumi mfululizo zinahusisha timu kutoka mataifa hayo mawili.
Rekodi inasema Timu za La Liga zinaongoza kushinda fainali hizo zikichukua mara 6 huku EPL zikicheza mara 3 katika kipindi cha miaka 10.
🇪🇸 2012, Atletico
🏴 2013, Chelsea
🇪🇸 2014, Sevilla
🇪🇸 2015, Sevilla
🇪🇸 2016, Sevilla
🏴 2017, Man United
🇪🇸 2018, Atletico
🏴 2019, Chelsea
🇪🇸 2020, Sevilla
🏴 2021, Manchester United vs Villareal
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Nice update
Mambo mazuri
Wana league bola
Kazi nzuli
Nice
Ni jambo nzuri
Nijambo zuri