Ukianza kukifikiri niambie nikukumbushe kuwa tofauti ya Atletico nafasi ya kwanza na Sevilla nafasi ya nne ni alama sita tu na zimesalia mechi tatu tu katika La Liga.
Atletico Madrid
Wahuni wa Diego Simeone wanahisi wameanza kuiona Nchi ya Ahadi baada ya kipindi kirefu kwani Real Madrid na Barcelona wamefika huko, huku yeye akiwasindikiza pamoja na begi yao. Uzuri wa Atletico naweza sema hana mechi ngumu ila kila nikikumbuka Sociedad anataka kucheza Europa League msimu ujao alafu kuna Osasuna na Valladoid.
Real Madrid.
Zidane huyu sio yule wa Ronaldo kwani kila aliyekutana naye kwenye UCL katika hatua ya mtoano alijua safari yake imeisha, ila huyu anaona La Liga ndio kombe pekee msimu huu ili kabati lisihifadhi buibui. Uzuri wake ni kuwa wakilingana alama wote watatu yeye ana advantage kwani La Liga wanaangalia kigezo cha head-to-head, ila kila nikiwaza mechi alizobaki nazo ni Granada, Bilbao na Villarreal ndio najiuliza kwani La Liga walijua haya.
Barcelona
Tatizo lilianza Laporta alipochukua kiti cha Urais yeye falsafa yake mpira ni mataji. Koeman akamwambia Messi acha tuchukue Copa del Rey kwanza alafu Ligi tumwombee adui njaa. Ila kila nikiwaza ufunyi wake wakutwaa kwa head-to-head nahisi Celta na Eibar wanaweza kuchana mkeka.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Kazi kweli kweli
Hayo maamuzi magumu sana
Kazi ipo
Sevilla win
Hatari sana
Kaz ipo
Pagumu hapo