Lacazette Aingia Anga za Barcelona

Imeripotiwa kwamba nyota wa Klabu ya Arsenal, Alexandre Lacazette anawaniwa na timu nyingi nje ya klabu hiyo ikiwa ni pamoja na Barcelona, Juventus na Atletico Madrid.

Kwa sasa Lacazette mkataba wake ndani ya kikosi cha Arsenal kinachonolewa na Mikel Arteta unakaribia kufika ukingoni msimu huu wa 2020/21 na amekuwa hana uhakika wa namba kikosi cha kwanza kwa kuwa wakati mwingine amekuwa akianza na mwingine amekuwa akianzia benchi.

 

Mshambuliaji huyo amefunga jumla ya mabao nane ndani ya Ligi Kuu England. Habari zinaeleza kuwa nyota huyo yupo tayari kuondoka katika Ligi Kuu England ili kupata changamoto nyingine nje ya Emirates.

Hivyo upo uwezekano nyota huyo akaibukia ndani ya Serie A kwa wababe Juventus ikiwa atakubali kusaini huko ama ndani ya La Liga kwa Barcelona ama Atletico Madrid ambazo zote zimeonyesha nia ya kuipata saini yake.

Kwa mujibu wa Calciomercato.Com umeeleza kuwa Lacazette yupo tayari kuondoka ndani ya Arsenal mkataba wake utakapoisha.


Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.

Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Lacazette hajawa na kiwango cha kutisha tangu kusajiriwa Arsenal. Kila lakheri kwake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Ni vizuri sana

    Jibu

    Lacazette anajua sana

    Jibu

Acha ujumbe