Mchezaji nyota wa klabu ya Brighton Adam Lallana anaamini kuwa mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain alikuwa na miezi migumu kwa kutokuwa nafasi ya kucheza mara kwa mara chini ya kocha Jurgen Klopp kwenye klabu ya Liverpool.

Lallana ameicheza klabu ya Liverpool michezo 178 kuanzia mwaka 2014 hadi 2020, na anahisi kuwa mchezaji mwenzie Oxlade-Chamberlain alipata wakati mgumu wa kuweza kuzuia hasira za kutokucheza mara kwa mara kwenye timu.

“Chamberlain amekuwa na miezi michache migumu, yakutopata nafasi ya kucheza mara kwa mara, nimekuwa pale. Ni ngumu kuweza kuzuia shauku yako mwenye kwa wakati kwa sababu unataka kucheza.

“Unajisikia vibaya mwenyewe. kwa kipindi, inabidi utulie, unapokuwa hauko vizuri, inabidi uoneshe uso wa furaha na kuweza kuwasaidia na kuwatia moyo wachezaji wenzako. Na unaweza ukajivunia kwa kufanya hivyo.” Alisema Lallana


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa