Lamine Yamal Aipa Ubingwa Hispania, England Miaka 58 Bila Taji.

Julai 14 usiku katika nchi ya Ujerumani utabaki kuwa kwenye historia ya wapenda soka, Kijana wa Kihispania Lamine Yamal akiwa na miaka 17 anaipa ubingwa Hispania mbele  ya Uingereza yenye mastaa kibao. Jisajili Meridianbet ushinde  maokoto kibao,  odds kubwa na machaguo 1000+

Yamal ndiye alikuwa mchezaji mdogo zaidi kucheza fainali za Euro 2024 aliingia akiwa na miaka 16, na kutwaa ubingwa akiwa na miaka 17 ambapo alifanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora Chipukizi.

Hispania ilifanikiwa kuifunga Uingereza mabao 2-1 huku bao la kwanza la Hispania likifungwa na Nico Williams akipokea pasi kutoka kwa Yamal, na bao la ushindi likifungwa na Mikel Oyarzabal katika dakika 86.

Bao pekee la England lilifungwa na mchezaji aliyetokea akiba Cole Palmer dakika 73 akipokea pasi nzuri kutoka kwa Bukayo Saka kisha Jude Bellingham akaisusa kwa kisigino. Mchezo huu ulikuwa na odds kubwa Je vipi jamvi lako mdau limetiki? Kama bado endelea kubashiri mechi  nyingi kwa odds kubwa na machaguo kibao.

Taifa la   Hispania linaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu la soka kwa kufanikiwa kutwaa mataji 4 ya Euro, huku upande wa vijana wa Southgate walishindwa kutimiza ndoto ya wengi,  ndoto ya miaka 58 bila kutwaa taji lolote kubwa.

England mara ya mwisho kushinda taji kubwa ilikuwa ni mwaka 1966 wakitwaa Kombe la Dunia,  hadi  sasa ni miaka 58 hawajatwaa taji lolote kubwa. Chukua taji la utajiri Meridianbet leo,  bashiri mubashara upate ushindi na bonasi kibao.

Uingereza walifanikiwa kucheza fainali kwa mara ya pili mfululizo safari hii   wakiwa na matumaini  ya kutwaa taji, lakini ndoto zikashindwa kutimia.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe