Kocha wa Chelsea, Frank Lampard amewamwagia sifa washambuliaji wa Tottenham Harry Kane na Heung-min Son kuelekea mchezo utaozikutanisha timu hizo mbili siku ya Jumapili.

Frank amesema itakuwa rahisi kwa washambuliaji hao kuvunja rekodi waliyoiweka na Didier Drogba ya kuwa muunganiko wa magoli mengi baina yao walipokuwa wakicheza pamoja Chelsea.

 

lampard, Lampard- Kane, Son Wanaweza Kuvunja Rekodi Yetu., Meridianbet

Kuelekea dabi hiyo ya London inayofwatiliwa na mashabiki wengi nchini Uingereza na Duniani kote inawakutanisha Mwalimu na Mwanafunzi wake, Jose Mourinho na Frank Lampard.

Kuna tishio katika rekodi na wanaenda kuivusha kirahisi kwajinsi wanavyocheza,

Ni kitu ambacho mimi na Didier tutanajivunia kiasi lakini huu ni mpirana unaendelea. Wachezaji wa kariba yao watataka kujaribu.” aliongeza Lampard


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

18 MAONI

  1. Kwa mwendo wanaokwend nao wanawez kuvunja rekodi ni kwl na rekodi zimewekwa iliwachezaj wa kizazi kinachifuata wavunje na kuweka rekodi Zaid katika soka

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa