Lampard Sababu ya Kuvutia Wachezaji.

Masaa machache baada ya Everton kumtangaza Frank Lampard, mvuto wa klabu umeongezeka. Wachezaji wanavutiwa na uwepo wake.

Lampard amepatiwa kibarua cha kuiongoza Everton kwa muda wa miaka 2 na nusu. Hii baada ya Rafa Benitez kuachishwa kazi klabuni hapo.

Kurejea kwa Frank kwenye ukocha ni muendelezo wa pale alipoishia wakati akiwa kocha wa Derby County na baadae Chelsea ambapo aliachishwa kazi na Thomas Tuchel kupewa mikoba.

Donny Van De Beek.

Ukiacha uwezo wake kama kocha, Frank ni mchezaji mkongwe na mwenye heshima kubwa kwenye soka la Uingereza na barani Ulaya kwa ujumla. Amekuwa ni kioo na mfano wa kuigwa na wachezaji wengi wa kizazi hiki.

Hili limejidhihirisha kwenye usajili wa Dele Alli na Donny Van De Beek. Wachezaji wote wawili wamesajiliwa Everton masaa machache baada ya Frank kuthibitishwa kama kocha mkuu wa Everton.

Dele Alli.

Wachezaji wote wawili wamesema wazi, Lampard ndio sababu kubwa ya wao kujiunga na Everton. Uwepo, maono na utayari wa kusaidia wachezaji wake ni vitu vilivyowavutia wachezaji hawa.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.