Lampard: Timo Werner Atakaa Sawa Tu.

Frank Lampard “hana shaka” Timo Werner atarejea katika fomu nzuri licha ya kupitia kipindi kigumu cha fomu akiwa Chelsea.

Chelsea iko chini ya shinikizo kabla ya mechi ya Jumatatu ya nyumbani dhidi ya West Ham imepoteza michezo miwili mfululizo ya Ligi Kuu, dhidi ya Everton na Wolves ugenini.

Kupoteza mara tatu mfululizo katika mashindano itakuwa ni rekodi mbaya zaidi kwa miaka mitano.

Werner mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani, aliyesajiliwa kwa kiasi kikubwa cha pesa akitokea RB Leipzig, hajafunga katika mechi nane katika mashindano yote.

Alijitahidi haswa kupata goli katika michezo dhidi ya Everton na Wolves, lakini Lampard anasisitiza kuchezeshwa kwake kushoto au mbele ya utatu sio sababu ya tatizo lake.

Alipoulizwa kwa nini Werner alikuwa akicheza kushoto, bosi wa Chelsea Lampard alisema: “Kwa sababu tofauti. Tulikuwa na kumbukumbu kubwa kwa mtu tuliyekuwa tumempanga kucheza mbele ambaye ni Olivier Giroud.

“Timo wa Leipzig na Ujerumani alicheza katika majukumu mengi, kwa hivyo sio shida kwake kutumiwa huko. Anaweza kutumiwa katika tatu za mbele.

“Nina wachezaji ambao wanaweza kucheza pande zote mbili. Sio wote, kama Hakim Ziyech upande wa kulia, lakini Timo na Christian Pulisic wanaweza kucheza kushoto na kulia.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

14 Komentara

    Timo atakaa sawa tu ni mambo ya mpito

    Jibu

    Timo ataludi katika aliyake

    Jibu

    Hayo ni mambo ya kawaida kwa mchezaji yoyote Timo atarudi tu kwenye Hali yake

    Jibu

    Hicho nikipindi Cha mpito kwa Timo atarudi ktk Hali yake

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Werner anahitaj muda zaid

    Jibu

    Timo ataka sawa tu nivijimambo vidogo vidogo ndio vina muyumbisha

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kwa jinsi Chelsea ipo kwenye kiwango chema cha wachezaji wazuri isinge stahili kufugwa mechi mfululizo jamani aaaka

    Jibu

    Atakaa Sawa tu

    Jibu

    Ni jambo jema

    Jibu

Acha ujumbe