Taarifa inatajakuwa Ligue 1 itachukua hatua kudhibiti fedha za Paris Saint-Germain.
Kwa mujibu wa L’Equipe, kama ilivyoripotiwa na Diario AS, DNCG, chombo cha kifedha kinachosimamia akaunti za vilabu vya Ufaransa, kitatekeleza hatua mbili mpya.

Jambo la kwanza ni kwamba hakuna klabu itakayoweza kuwa na malipo ya mishahara zaidi ya asilimia 70 ya mapato yake. Bili ya mshahara kwa sasa ya PSG inakaribia 91% ya mauzo yake, kwa hivyo watalazimika kupunguza idadi hii kwa kiasi kikubwa.

Hatua nyingine ya kutekelezwa ni kwamba hakuna klabu inayoweza kuwa na deni kubwa kuliko mtaji wa hisa. Hii haitaathiri sana PSG kwani wanaweza kuingiza mtaji kila wakati kupitia QSI.

Hatua hizo zimekuja kama sehemu ya utambuzi wa mamlaka ya soka ya Ufaransa kwamba uwezo wa kifedha wa PSG uko nje ya udhibiti na unaharibu uadilifu wa Ligue 1.

League 1 Kuchukua Hatua Kuwadhibiti PSG Kifedha

PSG tayari wametawazwa mabingwa msimu huu na wako mbele kwa pointi 14 dhidi ya Marseille walio katika nafasi ya pili huku kukiwa na mechi tatu kabla ya mechi kumalizika. Licha ya kwamba wamekosolewa vikali msimu huu, wanaonekana wanaweza kuachana na kocha Mauricio Pochettino hivi karibuni.


 

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa