Leicester vs Manchester United: Uchambuzi

Leicester vs Manchester United

Leicester Watakuwa wenyeji wa Manchester United, wote wakiwa wanakaza buti wakipania point 3, United akiwa anataka kuichukua nafasi ya Leicester wakati Leicester akisaka kujisimika zaidi kwenye nafasi ya pili kuendelea kufukuzana na kinara Liverpool.

Wenyeji wanaonekana kuwa wamejizatiti, na watakuwa wagumu zaidi kwa United, wakiwa wametoka kumtandika Tottenham 0-2 akiwa nyumbani wiki iliyopita, licha ya kukubali kichapo cha 0-2 dhidi ya Everton Disemba 16.

Leicester vs Manchester United: Uchambuzi

Leicester wamechapwa kwenye mechi zao zote nne za ligi zilizopita walizokutana na United, na mara ya mwisho kushinda dhidi ya Man U ilikuwa ni 2014 waliposhinda 5-3 mwezi Septemba.

Kwa upande wa United na wao wamekuwa kwenye fomu nzuri kwenye sasa, ukilinganisha na miezi kadhaa iliyopita. Licha ya kushindwa kutoboa hatua ya mtoano wa timu 16 Ligi ya Mabingwa, sasa wapo nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu.

Leicester vs Manchester United: Uchambuzi

Mechi hii ni muhimu sana kwa Ole Gunnar ambaye kibarua chake kimekuwa kikionekana kuwa rehani mara kadhaa, kukiwa na mashinikizo ya kutaka atumbuliwe.

United mpaka sasa wameshinda mechi zao sita kati ya saba zilizopita. Na hawajapoteza jumla ya mechi nane zilizopita za Ligi. Wamepoteza mechi tatu tu kati ya mechi zote 13 za Ligi.

United wako nyuma ya Liverpool kwa tofauti ya pointi moja tu, huku tofauti dhidi ya Leicester ikiwa ni pointi 1. Ushindi wa mechi hii utampa pointi tatu kukamilisha pointi 29 na kuendelea kumfukuzia Liiverpool.

Leicester vs Manchester United: Takwimu ya Mechi Zilizopita

Leicester City (Ligi Kuu): LLWWLW
Leicester City (Michuano Yote): LWWWLW

Manchester United (Ligi Kuu): WWWDWW
Manchester United (Michuano Yote): WLDWWW

W= AlizoshindaL= AlizopotezaD= Alizotoa Sare

Leicester vs Manchester United: Vikosi vinavyotarajiwa

Leicester City: Schmeichel; Fofana, Evans, Fuchs; Albrighton, Ndidi, Tielemans, Justin; Barnes, Vardy, Maddison

Manchester United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Shaw; McTominay, Fred; Greenwood, Fernandes, Rashford; Martial

Leicester vs Manchester United : Bashiri Mechi Hiii HAPA

 


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

9 Komentara

    Habari nzuri

    Jibu

    Hii mech ngumu sana

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Man U Wako vizuri, sasa hivi kidogo wanatia moyo

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Kazi ipo hapo

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Pataelweka

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

Acha ujumbe