Klabu ya Tottenham ina mpango wa kumuongezea muda wa mkopo kiungo mshambuliaji, Gareth Bale ambaye yupo hapo kwa mkopo akitokea kikosi cha Real Madrid.

bale

Raia huyo wa Wales mkataba wake na Real Madrid unatarajiwa kufika tamati Juni 20, 2022.

Bale amekuwa akiweka wazi kwamba anahitaji kurejea katika timu yake hiyo ili aweze kupata changamoto tena chini ya Kocha Mkuu, Zinedine Zidane kwa kuwa ameshapata uzoefu.

bale, Levy Kumbakiza Bale, Tottenham?, Meridianbet
Bale na Zidane

Lengo la nyota huyo ni kwenda kumalizia mkataba wake katika timu yake tofauti na hapo alipo kwa sasa.

Mwenyekiti wa timu hiyo, Daniel Levy anafanya jitihada kuhakikisha kwamba Bale anasalia kikosini hapo msimu wa 2021/22.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

bale, Levy Kumbakiza Bale, Tottenham?, Meridianbet

CHEZA HAPA

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa