Baada ya kuhairishwa kwa tuzo za Ballon d’or, Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya mtu mmoja ya soka la Ulaya. Kocha wake Hansi Flick, pia ametwaa tuzo hizo za UEFA.
Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich Robert Lewandowski ametajwa kuwa mchezaji bora wa kiume barani Ulaya kwa mwaka 2020 siku ya Ahamisi na shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya UEFA.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 32 kutoka Poland, alimpiku mchezaji mwenzake wa Bayern Manuel Neuer na kiungo wa kati wa Manchester City Kevin De Bruyne kushinda taji hilo.
Mchezaji huyo alifunga magoli 55 katika michezo 47 msimu uliyopita wakati Bayern iliponyakuwa mataji matatu kwa kushinda Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, Kombe la Ujerumani na Ligi ya Mabingwa wa Ulaya – Champions League. Hii ndiyo mara ya kwanza kwa Lewandowski kushinda tuzo ya UEFA.

“Nashukuru sana, najivunia sana na nina furaha sana,” alisema Lewandowski. “Unapofanya kazi kwa bidii na kisha unapata zawadi hii, ni jambo muhimu sana.”
Najivunia timu nzima kwa yale tuliyofanikisha,” aliongeza.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Caroline
Hongera sana Lewandowski
magdalena
anastahili iyo tuzo alionesha juhudi za hali ya juu msimu uliopita
Adelta
Lewandowski very good 👍
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zake jembe Lewandowski akiake kupa tuzo lamchezaji bola ulaya na mkubali jembe huyo anajua kinoma
Tatu
Pongezi kwake
Elika
Hongera nyingi sanaaa
Nasra
Pongezi kwako
Angelina
Good
Dorophina
Pongezi kwake lewandowiksi
Fatina mfingi
Pongezi kwako
Shani
Ni haki yake kupata tunzo
felister
anastahili iyo tuzo
Mwajumah
Hongera yake
Venerose
Safi sana
Amiri Kayera
Amestahili Sana kafany vzr
Sauda
Anastahili pongezi
Hidaya
Pongezi kwake
Hopemwaikuka
Congrats to him
Zeiyana
Kwa kazi aliyoifanya hanastaili pongezi
Mwanahamisi
Pongezi kwake
lombo
habar njema
aisha
Anasitahili tunzo ya pekee
Issa
Uwezo wake msimu uliopita kwa kuwa mfungaji bora aupingiki kiwango kizuri sana nafikir korona imemkosesha balion dior
Povel
Congrat kwake🤝🤝🤝🤝
Rehema
Nice
Latifa juma mohamed
Siku zote unapofanya kazi kwa bidii na kisha unapata zawadi hii, ni jambo muhimu sana, hongera Sana lewandowks.
Saupha mohamed
Hongera yake
Gabriel
Lewandowski anastahili iyo tuzo alionesha juhudi za hali ya juu msimu uliopita
farida ahmadi
Lewandowsk ni mchezaji mzuri Sana
Rose kapinga
Kila la kher,nyota imeng’aaa
Sabrina
Lewanowsk hongera sana kaka
Tahiya
Pongez kwake
David Pere
Uwezo wake msimu uliopita kwa kuwa mfungaji bora aupingiki kiwango kizuri sana nafikir korona imemkosesha balion dior
Samiah
Duuh