Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara iantarajiwa kukamilika leo kwenye michezo 8 itakayochezwa majira ya saa 10 jioni katika viwanja mbalimbali.

Klabu ya Mbeya Kwanza ndio timu pekee ambayo imeshuka daraja na msimu ujao atacheza Championship wakati timu nyingine zikiwa na kazi ya kusaka ushindi kuhakikisha wanasalia Ligi kuu ya NBC.

ligi kuu ya NBC, Ligi Kuu ya NBC Kutamatika Leo., Meridianbet

Klabu ya Yanga SC tayari imekwishatwaa ubingwa wa Ligi kuu ya NBC msimu huu wakicheza michezo 29 bila kupoteza, Ratiba ya kukamilisha msimu wa 2021/22 zitakazopigwa majira ya saa 10 jioni.

Mbeya Kwanza vs Simba – Uwanja wa Majimaji, Songea.

Dodoma Jiji vs KMC – Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Yanga vs Mtibwa Sugar – Uwanja wa Mkapa.

Ruvu Shooting vs Prisons – Uwanja wa Mabatini.

Kagera vs Polisi Tanzania – Uwanja wa Kaitaba.

Mbeya City vs Namungo – Uwanja wa Sokoine.

Coastal Union vs Geita – Uwanja wa Mkwakwani.

Azam FC vs Biashara United – Uwanja wa Azam Complex.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa