Ligi ya Mpira Kikapu Marekani NBA Kurejea Tena Julai 30

Baada ya janga la Corona kusimamisha msimu wa NBA, sasa ni rasmi Ligi hiyo ya kikapu Marekani inarejea tena Julai 30. Michezo yote iliyobakia kwa msimu huu itakuwa tofauti na misimu mingine yote iliyopita kwani itachezwa katika kituo kimoja huko Frolida na bado hakutakuwa na mashabiki ili kuepesha maambukizi mapya ya Corona.

Timu 22 bora kati ya 30 zimewasili mjini Frolida kuanzia Julai 7,8 na 9 na zitacheza michezo nane ya kukamilisha msimu wa kawaida ili kupata idadi kamili ya timu zitakazocheza hatua inayofata ya play off.

Play Off itaanza lini?
Michezo ya Playoff itaanza rasmi Agosti 17, huku Michezo 7 ya Fainali ya NBA inatarajiwa kufanyika OKTOBA 13 kumpata Bingwa.


Je! Ni timu gani zitapatikana?
Timu 22 zitawasili Orlando, ikiwa ni pamoja na timu 16 ambazo kwa sasa tayari zimefuzu kucheza play off na timu sita ambazo zimebaki na michezo sita au pungufu kutoka kwenye kila ukanda.

Eastern Conference:
Milwaukee Bucks
Toronto Raptors
Boston Celtics
Miami Heat
Indiana Pacers
Philadelphia 76ers
Brooklyn Nets
Orlando Magic
Washington Wizards

Western Conference:
Los Angeles Lakers
Los Angeles Clippers
Denver Nuggets
Utah Jazz
Oklahoma City Thunder
Houston Rockets
Dallas Mavericks
Memphis Grizzlies
Portland Trail Blazers
New Orleans Pelicans
Sacramento Kings
San Antonio Spurs
Phoenix Suns

Timu zingine nane zilizobaki zote safari yao msimu huu imekwisha, zinaweza kuanza kujiandaa kwa msimu ujao wa NBA. Kila la kheri kwa mwaka ujao, mashabiki wa Golden State Warriors 

20 Komentara

    Habari za kuleta furaha hizi

    Jibu

    Covd-19 kweli hili yumbisha mambo mengi sana ila ni jambo la heri kwetu wapenda mpira wakikapu kurudi yani nice#meridianbet

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari njema hizi watu tuanze kubeti kikapu

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Corona covid imevuruga mambo mengn Sana kila la kheri habar njema kwa wapenda NBA mpr wa KIKApu🏀🏀🏀🏀

    Jibu

    Bora watu tulimisi kuona wazee wa kudank

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi.. tulimiss burudani NBA ! Mkali Wngu Steve carry#meridianbettz

    Jibu

    NBA tuliisubiri Kwa hamu

    Jibu

    Maoni:Duuh afadhali mambo yaendelee NBA

    Jibu

    Habar njema sana 👍 hii kwetu mashabiki wa kikapu

    Jibu

    Nilipenda kuona Stephen Curry akionyeshana umwamba na Lebron James kwa bahati mbaya timu yake ilishatolewa#meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Nc tuliimic

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    NBA kurudi tena hili ni jambo la furaha sana covid 19 ilisimamisha kila baadhi ya sekta ikafanya mpk binadamu kwa binadamu tunaogopana kwa sabab ya haya.maradhi mpk chama cha basketball kilizuia wachezaj kupeana mikono kabla ya kusimama kabisa

    Jibu

    Ni Jambo zuri Sana Kama itarejea kwa haraka maana sisi mashabiki wake tunahitaji kuangalia Burudani

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari nzuri sana hizi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.