Jesse Lingard amewaaga wachezaji wenzake wachezaji wenzake kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, lakini hajaweka kizuizi juu ya uwezekano wake wa kurejea tena Westham kwa siku zijazo.
Nyota huyu wa miaka 28 alifanya vyema sana akiwa na klabu hiyo ya London mashariki tangia alipoungana nao akitoke a Manchester United mwezi Januari.
Staa huyu amefanikiwa kuona nyavu mara tisa, na asisti tano kwenye mechi 16 alizocheza kwenye EPL, akiwa na mchango wake kwenye klabu hiyo kufuzu kucheza Ligi ya Europa msimu ujao.
Lingard akizungumzia namna bora ya kumaliza msimu kwenye chapisho lake, amesema yeye pamoja na kikosi chake hapo Westham wamefanikiwa kufikia lengo ambalo walijiwekea. Amewasifu wanatimu wenzake na kujiona mwenye bahati kuwepo miungoni mwao.
Haijalishi kesho itakuwaje, lakini Westham itakuwa na nafasi ya pekee sana kwenye moyo wangu
-Jesse Lingard
Lingard amebainisha kuwa klabu imempa nafasi ya pekee ya kurejea kwenye taaluma ya soka baada ya kutoka United. Amewashukuru mashabiki kwa kumsapoti tangia alipowasili.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Itakuwa vizuri sana kama Lingard atarudi Westham maana amekuwa na wakati mzuri sana ndani ya Westham
Itakuwa poa lingard akirejea klabu yake ya mara ya kwanza
Arejee tu uko
Akirejea itakuwa vizuri