Nyota wa Barcelona Lionel Messi sasa ameweza kufikikisha rekodi sawa na Pele ya magoli 643 kwa klabu moja wakati Barcelona wakiendelea kuhangaika kuweka mambo sawa na kuambulia sare ya 2-2 dhidi ya Valencia pale Camp Nou.
Maxi Gomez aliwakwamisha Barcelona katika jitihada za kuutafuta ushindi wa kwanza katika mechi zao 8 xilizopita. Barcelona wamefikisha mechi 8 mfululizo bila ushindi katika mechi zao 13 za ligi msimu huu.
Lionel Messi sasa amefikisha magoli 643 akiwa klabu moja tu, rekodi kama hii iliwekwa na nyota wa Brazili Pele ambaye alitumia misimu 19.
Pele alianza kuichezea Santos akiwa na miaka 15 tu, na alianza rasmi kuichezea Brazili akiwa na miaka 16. Ni nadra sana kuwaona wachezaji wakiwa na klabu kwa mda mrefu wakipata mafanikio kama Pele.
Lionel Messi licha ya historia yake na Barcelona, yeye anaona tayari wakati wake wa kutarakiana na klabu hiyo umewadia. Klabu pia inafikiria kumshawishi aendelee kusalia klabuni hapo.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!
Hopemwaikuka
Congrats to u Mess
Adelta
Good news 👍
Tatu
Pongezi kwake
Shakila mrope
Good New
Issa
Mess atazifuta rekod zote
Caroline
Mess yupo juu
Sarah
Good news
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Messi yupo vizuri
Dorophina
Pongezi kwake messi
Janeflora malisa
Safi
Chiku
Wako vizur
warda
Amejitahidi
aisha
Safi sana
Samiah
Gud
farida ahmad
Hongera Sana messi
Amani Maeda
Anastahili kwa juhudi yake.