Lionel Messi -"Bartomeu ni Muongo, ni Janga."


Mshindi wa Ballon d’or mara 6 Lionel Messi amemwita Raisi wa kalabu ya Barcelona na Uongozi wake ni waongo baada ya kushindwa kutunza ahadi yao.

“Niliiambia klabu pamoja na raisi kwamba nahitaji kuondoka. Nimekuwa nikimwambia hivyo kwa kartibu msimu mzima. Niliamini ni muda wangu kukaa pembeni. “Messi aliiambia Goal

 

 Lionel Messi -"Bartomeu ni Muongo, ni Janga."

“Naamini klabu inahitaji wachezqaji wengi wachanga, wapya na nilidhani muda wangu Barcelona umekwisha, najisikia vibaya kwakuwa nilisema nitamalizia maisha yangu ya soka hapa.

“Sikusema hayo kwasababu ya matokeo ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayer Munich, hapana – nilifikia maamuzi hayo kwa muda mrefu sasa.

“Nilimwambia raisi na mara zote amekuwa akiniambia mwisho wa msimu utachagua kama utaendelea kubaki au utaamua kuondoka, lakini ameshindwa kutunza ahadi yake.”aliongeza Messi

 

 Lionel Messi -"Bartomeu ni Muongo, ni Janga."

Hata hivyo Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la yeye kuikacha klabu hiyo kwa muda huu.

Katika maelezo yake mengine, Messi amesema “Sikuwa na furaha nikataka kuondoka,nabakia kwenye klabu ili nisiingie kwenye mvutano wa kisheria. Utawala wa Bartomeu ni janga kwa klabu.”

Timu iliyokuwa inapewa nafasi kupata saini ya nyota huyo ilikuwa ni Manchester City.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

42 Komentara

    Good news

    Jibu

    Hili Sakata la Messi linazidi kumtia Doa rais wa Barcelona maana kuna mengi yanazungumzwa juu yake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ilisakata lamessi linazidi kupamba Moto atimayake haijulikani itakuwaje

    Jibu

    Utawala wa Bartomeu ni shida kwenye Klab

    Jibu

    Hilo sakata tuwaachie wenyewe

    Jibu

    Mashabiki hatuelewi hili sakata la Messi mwisho wake itakuwaje?@meridianbettz

    Jibu

    Mbona wanawachanganya mashabiki wa Barca hawaelewi lipi sahihi washike ila Messi asinge mchafua rais wake

    Jibu

    hawa sasa barcelona nao wanatindinganya mambo mara naondoka mara nabaki sasa tuelewe lipi

    Jibu

    Barca wanaamini kwamba messi ndio mzizi wa club endapo watamruhusu msimu huu watakua wamepotea.

    Jibu

    Mtu star kama messi si vyema mambo hanayo yafanya kwa wakati huu kwa mtazamo wangu naona kama hanajiaribia histor yake tu

    Jibu

    kam mnfatilia vzr Rais wa sas wa Barca bwana Batromeo aliharibu hali ya club kwa kutowajali marijendali wa klabu kwa kutothamin mchango wao na kuwaacha wana staafu hovy kweny vilabu vingine mtu kam iniesta na xavi ilibid wabakie Barca hadi leo.
    kam makocha wasaidiz kwakuwa wao ndio wanaijua timu vzr na style ya uchezaji.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wangemfanyia mpango aondoke tu jmn

    Jibu

    Messi anatuvuruga sasa tuelewe nini sasa…?

    Jibu

    Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Jambo zur mess kubaki Barca

    Jibu

    Mess kubaki barca ni uhakika

    Jibu

    Jambo zuri messi kubaki barca

    Jibu

    Mess kubaki ni sahih

    Jibu

    Duuh haya mambo naona yanazidi kupamba moto

    Jibu

    Jaman yaan umekua kama msukule sao wakuache bas na wao

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Tunasubiria movie itaishaje

    Jibu

    Abaki lakin mkataba wake ukiisha aondoke tu

    Jibu

    Barca wanaamini kwamba messi ndio mzizi wa club endapo watamruhusu msimu huu watakua wamepotea

    Jibu

    Hili sakata linazid kupmb moto

    Jibu

    Barca wanaamini kwamba messi ndio mzizi wa club endapo watamruhusu msimu huu watakua wamepotea.

    Jibu

    Sakata la Messi linazidi kumtia Doa rais wa Barcelona maana kuna mengi yanazungumzwa juu yake

    Jibu

    Good

    Jibu

    Nashindwa kuelewa kwann wamekua hawaelewani

    Jibu

    Bartomeu amekuwa akiandamwa sana pande zote, wachezaji wengi waliosajiriwa Barcelona hawana kiwango cha kucheza timu hiyo kulingana na falsafa ya timu kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kuchezea mpira#meridianbettz

    Jibu

    Mbona mambo yanakua mengi hapoo!!

    Jibu

    Sasa anataka kuondoka kuna nn!!!#meridianbettz

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Duuh ni vibaya sana mana hata kama amebaki lakini nafikiri hatacheza kwenye kiwango kizuri mana hapo hapataki

    Jibu

    Jamaa hawataki aondoke duuu

    Jibu

    Abaki tu. Ila mambo mengine yatuliage

    Jibu

    Malizia tu msimu wa mwisho.

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe