Liverpool na Mbio za Kuvunja Rekodi kwa Kuwakaribisha Burnley

Mabingwa Liverpool wanaendelea na mbio zao za kuvunja rekodi ya kutwaa ubingwa kwa alama nyingi katika Ligi Kuu England wakati watawakaribisha Burnley saa 11:00 jioni huko Anfield.

Liverpool Burnley
Liverpool Burnley

Majogoo wamebeba taji hilo msimu huu, wakishinda michezo yao 30 kati ya 34, hadi sasa wamejikusanyia alama 92 huku zikibaki game nne msimu kumalizika.

Timu ya Jurgen Klopp inaweza kuvunja rekodi ya alama 100 iliyowekwa na Manchester City msimu wa 2017/18 na itawezekana endapo wakishinda michezo mingine mitatu.

Liverpool Wanaingia katika game ya leo, wakiwa na rekodi bora dhidi ya Burnley, wameshinda michezo yao tisa kati ya 11 iliyopita, matokeo ambayo ni
mazuri na yanaweza kuwabeba.

Ingawa Klopp atahitaji umakini zaidi kwani Burnley sio wakuchukuliwa poa, wamechukusanya Alama 10 kutoka michezo yao minne iliyopita na ingawa wamefunga bao moja tu kwenye michezo hiyo, wanafaida ya kuruhusu wavu wao kutikiswa mara moja tu. Kama kawaida, timu ya Sean Dyche ni wabishi hawafungiki kirahisi.

45 Komentara

    Safii Sana Liverpool

    Jibu

    Burnley sio timu ya kubeza , ni kiboko ya vigogo. Bila shaka Liverpool watataka kuvunja record hiyo#meridianbettz

    Jibu

    Liverpool Yuko vizuri

    Jibu

    Liverpool safi sana

    Jibu

    Liverpool mpo vzr pamoja mashabiki wake#

    Jibu

    Game ngumu sanaa

    Jibu

    Liver moto

    Jibu

    Ngumu kumeza hii game

    Jibu

    Vzur tu

    Jibu

    Chelsea atashinda

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Good

    Jibu

    ushindi kwa liverpool ni uhakika

    Jibu

    Burnley sio wakuchukuliwa poa, wamechukusanya Alama 10 kutoka michezo yao minne iliyo pita Bila shaka Liverpool watataka kuvunja record hiyo#meridianbettz

    Jibu

    Kwa msimu huu Liverpool wananafasi kubwa sana ya kuvunja rekodi ya kuchua kombe wakiwa na alama nyingi zaidi

    Jibu

    Liverpool yuko sawa

    Jibu

    Watashinda tu

    Jibu

    Ushindi lazima

    Jibu

    Liverpool mpo juu

    Jibu

    Hatar sana 👍

    Jibu

    Ngoja tuone kama watafika hzo point 100 walizo zitaja kuzipata

    Jibu

    Mechi kalii

    Jibu

    Liverpool jeshii

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Jeshi la mtu mmoja Liverpool halikamatiki

    Jibu

    Anfield hapafungiki

    Jibu

    Wamebanwa leo record hawawezi kuivunja

    Jibu

    Liverpool wako vizuri Ila wakilewa sifa za Hilo kombe wataburuzwa

    Jibu

    Liverpool safi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Liverpool wako vizuri msimu lazima wa chukuwe kombe

    Jibu

    Liverpool ni timu nzuri sababu kocha wao yupo makini na kazi yake na klopp hana kazi mbaya

    Jibu

    Liverpool hawakuwa rahisi kumuacha baryen washinde kirahi mana wenyewe wanahitaji point tatu ndio mana wakatoka suluhu

    Jibu

    Liverpool iko vizur sana

    Jibu

    Ndio Liverpool wanajulikana mabingwa lakini kwa mchezo huu wasiwachukulie poa sana burnel

    Jibu

    Maoni:safi sana Liverpool

    Jibu

    Safi sana livepool#meridianbettz

    Jibu

    Liverpool kazeni buti

    Jibu

    Mechi ngumu sana kwa liver maana Burnley na wenyewe wapo vizuri

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Burnley kamkazia bingwa

    Jibu

    Liverpool wamevunja rekodi ambayo hawakuwai kuvunja kwa muda mrefu

    Jibu

    Wenzetu wanaheshimu Sana rekodi licha ya kuchukua ubingwa.

    Jibu

    game ngumu ya liver ni Chelsea tu

    Jibu

    Haya kazi kwao#Meridianbettz

    Jibu

    Liverpool jeshiii

    Jibu

Acha ujumbe