Liverpool Majanga Yanaendelea.


Klabu ya Liverpool imeendelea kupata majanga baada ya kapteni wa timu hiyo Jordan Henderson kuumia wakati anaitumikia timu yake ya taifa dhidi ya Ubelgiji.

Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Gereth Southgate amethibitisha kwamba kiungo wake Jordan Henderson alitolewa wakati wa mapumziko kwasababu misuli yake ilibana katika mechi dhidi ya Ubeligiji na nafasi yake kuchukuliwa na Harry Winks.

Bado haijafahamika ukubwa wa jeraha lake anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi mapema wiki hii.

 

Liverpool Majanga Yanaendelea.

Pia Nahodha wa timu ya taifa ya Scotland Andy Robertson ameumia nyama za nyuma ya paja akiwa kwenye majukumu ya timu yake ya taifa na ataukosa mchezo dhidi ya Slovakia.

Jumla ya Majeruhi katika klabu ya Liverpool mpaka sasa,

1: Trent
2: Gomez
3: VVD
4: Robertson
5: Henderson
6: Salah (Covid 19)


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

21 Komentara

    liverpool kwa msimu huu ubingwa watausikilizia kwa wenzao tu sababu ina wakati mgumu sana juu ya kupata wakushika nafasi za waliopo majeruhi

    Jibu

    Daaah pole sana klabu ya Liverpool mana mnawakati mgumu sana Wa majeruhi wengi wenye kiwango cha uchazaji mzuri ila ninaimani kuwa kocha kolppa ni kocha ambae anajua kusoma nyakati tofauti na kufanya mambo mazuri kwenye klabu yake

    Jibu

    Izo ni changamoto tu pambaneni mtafanikiwa

    Jibu

    Dah poleni sana wana Liverpool

    Jibu

    Izo ni changamoto tu.haina budi kukabiliana nazo

    Jibu

    Hizo Ni changamot tu pambanene mtazishinda

    Jibu

    Liverpool pole na majanga

    Jibu

    Izo ni changamoto jitaidini mpambane mshinde

    Jibu

    Izo ni changamoto tu pambaneni mtafanikiwa

    Jibu

    Liverpool wanawakati mgumu sana ukiangalia wachezaji wao makini wote wapo benchi kwa majeraha waliyopata

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    I feel sorry for them

    Jibu

    Daah pole sana Liverpool

    Jibu

    Hili linazidisha ile hali ya klabu nyingi kutopendezwa na wachezaji wao kuchezea timu za Taifa na pale wanapoumia hasara kubwa hubebwa na Club anayocheza kwa maana kutosaidia timu yake kwa muda anaokuwa anauguza majeraha. Hili linaweka katika hatari kwa Liverpool kutetea ubingwa msimu huu.

    Jibu

    Liverpool msimu huuu wajipange kwl kwl

    Jibu

    Kloop anapita kweny kipind kigumu na liverpool

    Jibu

    Duuh Liverpool wapo katika kipindi kigumu km Wana gunduu

    Jibu

    Duuh pole sana klopp kwa kipindi kigumu unachopitia

    Jibu

    Habari mbaya kwa wapenz wa Liverpool.

    Jibu

    Liverpool majanga sana

    Jibu

    Liverpool wasipokuwa makini wanawwza kukosa kombe msimu huu

    Jibu

Acha ujumbe