Liverpool: Msimu wa Kuvunja Rekodi

Baada ya kukabidhiwa rasmi kombe la EPL msimu huu. Liverpool wameweka rekodi yao na kuvunja rekodi zilizokuwepo katika Ligi Kuu Uingereza. EPL.

Matokeo ya ushindi wa Chelsea dhidi ya Manchester City yalitosha kumtangaza Liverpool kama bingwa wa EPL msimu huu akiwa bado amesalia na michezo 7 mkononi. Japokuwa, Liverpool alipaswa kusubiri mpaka mchezo wao wa mwisho katika uwanja wao wa nyumbani -Anfield ndipo watapokabidhiwa rasmi kombe hilo.

Ikumbukwe, mara ya mwisho kwa Liverpool kubeba kombe la EPL ilikuwa mwaka 1990 ambapo Kenny Daglish alikuwa kocha wa klabu hiyo. Daglish ambaye pia aliwahi kuichezea Liverpool michezo 515 na kufunga magoli 172 ndiye aliewavisha medali na kuwakabidhi kombe Liverpool baada ya mechi yao dhidi ya Chelsea walipoibuka na ushindi mnono wa goli 5-3.

Kutangaza ubingwa wakiwa na mechi 7 mkononi ni rekodi ambayo Liverpool wameiweka katika historia ya EPL. Timu pekee zilizowahi kufanya hivyo ni Manchester United mwaka 2000-01 na Manchester City mwaka 2017-18 ambapo timu zote hizi zilitangaza ubingwa wakiwa na mechi 5 mkononi.

Wakati Liverpool walipofikisha pointi 61 baada ya michezo 21, hiyo ni rekodi ya kipekee kutokea katika ligi zote kubwa barani Ulaya. Hakuna timu imewahi kufanya hivyo isipokuwa Liverpool pekee.

Japokuwa Liverpool wameweka rekodi zao kadhaa msimu huu, bado hawajaivunja rekodi ya Manchester City ya mwaka 2017-18 ya kufikisha pointi 100 katika msimu mmoja na kuchukua ubingwa wa EPL. Ushindi wa mechi ya mwisho kati ya Liverpool dhidi ya Newcastle United utampatia Liverpool pointi 3 na hivyo atamaliza msimu akiwa na pointi 99 pekee.

 


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma hapa zaidi

53 Komentara

    Na pia wamevunja rekodi ya kuchukua kombe bila mashabiki

    Jibu

    Liverpool wamestahili haya mafanikio kutokana na juhudi zao kuanzia mwanzoni mwa msimu, Hakika Klop ataacha alama kubwa sana pale Anfield.

    Jibu

    Pongezi sana kwa klabu ya liver haikuwa msimu mwepesi

    Jibu

    Liverpool wanastahili hili kombe wamepambana ipasavyo

    Jibu

    Pongezi nyingi kwa Liverpool wamestahili maana alijituma tangu msimu unaanza

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Liverpool ilikuwa na nafasi ya kushinda kuvunja record mbili, mosi kushinda EPL kwa points nyingi na kutangazwa mabingwa akiwa bado na michezo 7. Tuone msimu ujao kitakachotokea#meridianbettz

    Jibu

    raha sana jamani kukabidhiwa kombe

    Jibu

    Katika msimu huu liverpool wamejitahidi sana wamepambana sana mpka kuchukua kombe they deserve it

    Jibu

    Baada ya kupambana xana inabid upate pongez haki yao kuchukua kombe

    Jibu

    Pongezi Sana kwamsimu wa Liverpool aikuwa msimu mwepesi

    Jibu

    Pongezi kwao#Meridianbettz

    Jibu

    Liverpool wanajua sana pia wanasitajili kipata kombe

    Jibu

    Pongezi kwao#meridianbettz

    Jibu

    Wame tishaaa

    Jibu

    Pongezi kwao klabu ya Liverpool

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    pongezi kwao liverpool

    Jibu

    Liverpool wanahitaji pongezi maana wamesota sana

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    Ushindi wa mechi ya mwisho kati ya Liverpool dhidi ya Newcastle United utampatia Liverpool pointi 3 na hivyo atamaliza msimu akiwa na pointi 99 pekee.

    Jibu

    Liverpool anastaili kuchukua ubingwa.

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Pongezi kwa Liverpool

    Jibu

    Hongera yao Liverpool

    Jibu

    Pongez kwa majogooo

    Jibu

    Hongera sana kwa Liverpool

    Jibu

    Pongezi kwa wazee wa kazi

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Kiukwel wamepambana sana msimu huu mpka kutwa ubingwa wanastahil kabisa habar njema sana 👍 kwao

    Jibu

    Mpambano wajana ulikuwa vuta ni kuvute liverpool wakavunja rekodi goli 5#meridianbett

    Jibu

    Wamepambn sana

    Jibu

    Pongezi ziende kwao

    Jibu

    Hongera zao nyingi Liverpool

    Jibu

    Pongezi kwa liverpool

    Jibu

    Wako njema.msimu huu

    Jibu

    Wanastairi pongezi kwa kupambania hadi kuja kufuzu ubingwa wa EPL sio kazi ya kitoto

    Jibu

    Maoni:Daaaa miaka mingi sana kwakweli

    Jibu

    Tabasamu kama lote kwa Liverpool

    Jibu

    Wamefanya makubwa

    Jibu

    Kwelu wamevunja rikodi kuchukua kombe bila mashabiki

    Jibu

    Liverpool anastahili pongezi kwa msimu huu namefanya vizuri

    Jibu

    Safi Sana kwa ubingwa Ila Ni muda mrefu awajatwaa ubingwa# meridianbettz

    Jibu

    pongezi ziende kwa klabu nzima ya Liverpool

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hongera Sana Liverpool

    Jibu

    Ni msimu wao walikuwa poa sana

    Jibu

    Congratulations guys

    Jibu

    Management ya Liverpool na kloop wana stahili pongezi.

    Jibu

    Ndio washafanya hivyo tayari kikichobakia kuangalia msimu ujao Kama wataweza Tena kutetea ubingwa wao

    Jibu

    Mwaka wao huu#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe