Liverpool wamefikisha alama sawa na Tottenham Hotspur kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuilaza Leicester City 3-0 jana Novemba 22, 2020 pale Anfield.
Liverpool waliweka rekodi mpya ya kutoshindwa katika jumla ya mechi 64 zilizopita za Ligi uwanjani Anfield.
Mabingwa hao watetezi wa EPL walivunja rekodi yao ya awali iliyowashuhudia wakipiga msururu wa mechi 63 za Ligi bila ya kupoteza hata moja kati ya Februari 1978 na Januari 1981.

“Kulikuwa na mambo mengi mazuri katika mechi hiyo. Siwezi nikateua moja lililonifurahisha zaidi. Pengine matokeo ya kuridhisha zaidi kutoka kwa James Milner aliyechezeshwa kama beki wa kulia,” akatanguliza Klopp.
“Alijituma zaidi katika nafasi hiyo kabla ya kuendeleza ubabe wake alipoenda kwenye safu ya kati. Hilo ndilo tunalotarajia kutoka kwa kila mmoja wetu.” alisema
Liverpool walipata uongozi dakika ya 21 kupitia kwa Jonny Evans aliyejifunga kabla ya Diogo Jota kuongeza bao la pili dakika nne kabla ya kipenga cha kuashiria mwisho wa kipindi cha kwanza kupulizwa. Firmino alikamilisha karamu hiyo ya magoli dakika ya 86 ya mchezo.
Hadi 130,000,000 Tsh kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.




magdalena
liverpool wapo vizuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana
Angelina
Safi liverpool
Salma ngende
Vizuri
Fatuma kasomo
Safi
Mariam mtandama
Safi
Antony Luseno
Klopp na vijana wake wanazidi kudhiririsha kuwa wapo vizuri EPL
Adelta
Liverpool walikuwah former katika mchezo wa Jana credit kwao walistaili kupata matokeo jana
Sania
Good
Ester jackson
Good
Sarah
Safi
Shakila mrope
Safi san
Mwajumah
Safi
Tatu
Liverpool wapo vizuri
Rahma
Safi
Fatina mfingi
Safii
lombo
Vzr
Hopemwaikuka
Kaz kaz
Rehema
Nice
Povel
Never walk alone
aisha
Liverpool kidogo wanajitahidi
Saupha mohamed
Nice
Tahiya
Safi Liverpool
Issa
Kloop amekua na rekod safi sana
Sauda
Liverpool wana rekodi nzuri
samiah
Gud