Klabu ya Ligi Kuu Uingereza, Liverpool inahusishwa na mpango wa dili la mabadilishano kumnasa Lucas Ocampos kutoka Anfield msimu huu wa joto.
Jurgen klopp anatajwa kuwa anamfuatilia kwa ukaribu nyota huyu raia wa Argentina katika mpango wake wa kuboresha kikosi chake kwa msimu huu.
Kwa mujibu wa Ripoti kutoka La Razon, Kocha huyu mwenye uraia wa Ujerumani yupo tayari kufanya mabadilishano na kuongeza kiasi cha pesa kitakachotakiwa. Dili la mabadilishano linamhusisha nyota Mjapani Takumi Minamino kwenda Estadio Ramon Sanchez Pizjuan.
Minamino kwa sasa yupo kwa mkopo kule Southampton baada ya kukosa mda wa kutosha wa kucheza pale Anfield.
Wachezaji hawa wawili wanatofautiana thamani na Ocampos mkataba wake una thamani ya £56m wakati minamino akiwa na thamani ya £10m, Liverpool wanatarajhia kuwa watajitahidi dili kulifikisha £40.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Mbona naona kama klopp kesha potea
Liverpool wachangamkiye dili
Mkwanja utaongea
Liverpool fanyeni kweli
Liverpool dili nono ilo
Liverpool wafanye kweli
Liverpool fanyeni kweli
Kloop chukua mtu huyu