Liverpool wanatajwa kuwa wameunga tela kumfuatilia nyota ambaye anatajwa kuwa windo la Barcelona, Eric Garcia. Hii ni kwa mujibu wa vyanzo vyaa taarifa.
Nyota huyu ambaye analengwa na klabu hizi mbili bado ana mkataba na Manchester City, na mkataba wake unaisha mwisho wa msimu.
Nyota huyu hadi kufikia mwezi Januari anaweza kuanza kufanya mazungumzo na klabu yeyote ya nje na Uingereza, isipokuwa atalazimika kusubiri hadi msimu wa joto kabla ya kuweza kuanza kufanya mazungumzo na klabu yeyote ya Uingereza.
Liverpool wamekuwa na shida kidogo katika safu ya ulinzi kwa sasa hasa baada ya Virgil van Dijk na Joe Gome kupata changamoto za majeraha.
Licha ya Liverpool kuwa na nia ya kuipata saini ya Garcia, inatarajiwa kuwa Barcelona ndiyo wapo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kumrejesha staa huyu Camp Nou ambako alianzia maisha yake ya soka la kulipwa.
Wakati Barcelona na City wakitajwa kuwa tayari walishafanya mazungumzo mara kadhaa, nyota huyu anaonekana kuwa yupo tayari kuungana tena na klabu yake ya zamani.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!
samiah
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri
Samira
Kama anatamani kurudi club yake ya zamadi arudi kama atapewa nafasi ya kucheza
Rahma
Safi
Adelta
Kama anatamani kurudi kwenye club yake
Arudi tu Kama nafasi ipo
Dorophina
Yeye ndio mwenye maamuzi wapi anataka kupatumikia tusubilie msimu uishe tujue wapi ataenda
Caroline
Eric yupo vizuri sana
felister
Eric yupo vizuri
Tatu
Safi
Janeflora malisa
Safi
warda
Mancity hawawezi mwachia