Liverpool Yakubaliana na Preston Dili la Ben Davies.


 

Taarifa zinasema Liverpool zimekubaliana na Preston kima cha £2 milioni kwaajili ya kumsajili beki Ben Davies kuelekea siku ya mwisho ya dirisha la usajili kufungwa.

The Reds walifungua mazungumzo na klabu hiyo inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini uingereza na Davies anatarajiwa kufanya vipimo vya afya leo Jumatatu.

 

Liverpool pia ilihusishwa na usajili wa mchezaji wa Marseille, Duje caleta-Car lakini dili hilo lilishindikana kutokana na klabu hiyo inayoshiriki ligue 1 kushindwa kupata mbadala.

Meneja wa Liverpool Jurgen Kloop alidhibitisha kwamba atajaribu kusajili mchezaji angalau mmoja, baada ya mabeki wote wanne wa safu ya kati kupata majeraha.

Alipoulizwa juu ya nia ya timu yake kwa beki huyo baada ya Liverpool kushinda 3-1 huko West Ham Jumapili, Klopp aliiambia Sky Sports: “Ben Davies, Tottenham … sina la kusema juu yake. Kwa safu hii sio shida , labda ikiwa tu kitu kingine kitatokea.


TUNGENEZA FAIDA KATIKA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

11 Komentara

    Liverpool wanataka kufanya mapinduzi naona

    Jibu

    Meneja wa Liverpool anataka kuwaonyesha yeye ni kiwango kizuri

    Jibu

    Liverpool wanatakiwa wafanye mageuzi makubwa kwa kipindi hiki

    Jibu

    Liverpool inatakiwa ifanye vizuri ili Mambo yakae sawa

    Jibu

    Liverpool waongeze juhudi ya kufanya vizuli kwa kipindi iki

    Jibu

    Liverpool wamefanya usajili mzuri sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ni jambo zur

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    safi sana

    Jibu

Acha ujumbe