Liverpool inataka kumsajili Kiungo wa Inter Milan, Nicolo Barella na ipo tayari kumnasa mchezaji huyo kwa kubadilishana na mchezaji wake, Naby Keita.

Inaelezwa kuwa Kocha, Jurgen Klopp anavutiwa na kiwango cha Barella, hata hivyo Inter inadaiwa kutaka Paundi Milioni 77 ili kufikiria kumuachia.

 

liverpool, Liverpool Yamtoa Chambo Keita Kumpata Barella., Meridianbet

Liverpool inadaiwa kuona kiwango hicho cha pesa ni kikubwa sana hivyo inaweza kumuweka Keita katika dili hilo. Keita amebakiwa na mkataba wa mwaka mmoja Anfield.

Barella ni mchezaji muhimu katika kikosi cha Inter Milan, akiwa amecheza mechi 48 katika mashindano yote msimu huu akifunga magoli 4 na kuchangia mengine 13.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa