Lloris Kuchukua Nafasi ya De Gea United.


Kulingana na gazeti la L’Equipe zinasema kipa wa Tottenham, Hugo Lloris huenda akachukua nafasi ya De Gea katika klabu ya Manchester United endapo kipa huyo ataamua kuondoka.

Manchester United waliripoti wako tayari kusikiliza ofa kwa kipa De Gea ambaye kiwango chake kimeshuka kwa kiasi kikubwa chini ya meneja Ole Gunnar Solskjaer.

Klabu ya Paris Saint-Germain ilikuwa mbele katika kuwania saini ya kipa David De Gea, huku kukiwa hakuna mazungumzo yaliyo ripotiwa kufunguliwa mpaka sasa baina ya vilabu hivyo viwili.

 

Lloris, 34 pia amepigiwa upatu kuondoka Spurs na United wana nafasi kubwa ya kuweza kumchukua kipa huyo mwenye medali ya kombe la dunia.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Vizuri

    Jibu

    Ataweza kweli

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Vinzur sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ataweza kweli

    Jibu

Acha ujumbe